p

Chanzo cha picha, EPA

Polisi
nchini Mexico inawasaka wafungwa kadhaa waliotoka gerezani huko Puerto Vallarta
wakati wa wimbi la machafuko yaliyoanzishwa na genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation
Cartel (CJNG) siku ya Jumapili.

CJGN ilifanya
vurugu kulipiza kisasi kwa mauaji ya kiongozi wao, Nemesio Oseguera Cervantes,
anayejulikana kama “El Mencho” na vikosi vya usalama.

Wakati wa
machafuko hayo, watu wenye silaha waligonga milango ya gereza kwa gari, na kuwafungulia
njia wafungwa 23 kutoroka, amesema afisa mmoja.

Zaidi ya
watu 70 – wakiwemo wanajeshi 25 – waliuawa katika operesheni ya kukamata El
Mencho na vurugu zilizofuata.

Pia unaweza kusoma:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *