#NBCPL Neno la makocha baada ya mechi…..wa Yanga akiendelea kulia na ugumu wa ratiba huku wa JKT akisema alichojifunza kutokana na kichapo cha leo.
FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania.
Inafuata Dodoma Jiji vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSC #JKTTanzania #YangaJKT
(Feed generated with FetchRSS)