“Kwa sasa hivi kwa wale ambao wanakuja kuingia kwenye mfumo, lazima aje akiwa amekamilika, akiwa na leseni….kwa sasa anaekuja kujiunga kwenye kituo chochote lazima aje amejikamilisha…ukienda LATRA kuna maelekezo kabisa wametoa moja ya maelekezo yaliyopo ni kwamba ni lazima kuwe na muonekano ili tutofautiane….”-Daudi Laurian-Katibu Mkuu wa Chama cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki DSM.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *