Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Kenani Labani Kihongosi amesema CCM haitokubali wenye nafasi kuumiza wananchi kwa kuwanyima haki zao

Kihongosi ameyasema hayo akiwa uwanja wa Mayunga Bukoba Mjini wakati akisikiliza na Kutatua Chanamoto za wananchi ambapo Mkazi Mmoja wa Bukoba Anderson Mbekya ametoa malalamiko ya kuchukuliwa kiwanja cha Familia na Diwani.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *