Wakristo duniani leo wanajumuika katika ibada maalumu ya Ijumaa Kuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Ijumaa ya mwisho ya Mfungo wa Kwaresma hata hivyo si kila mmoja anaifahamu asili ya siku hiyo kuitwa Ijumaa Kuu.
Padri Richard Tiganya CPPS wa Kanisa la Gambera Seminari kuu Segerea anaielezea asili hiyo.
āIbrahimu Kiluimbo
@richardngailla
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)