Ujumuishaji wa wanawake na vijana katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi umewezesha wanakijiji wa Nyamwage ,Kitapi na Mbwala Halmashauri ya wilayani Rufiji Mkoani Pwani kupanda miti zaidi ya 45000 huku vikundi vya utetezi vikisaidia kupaza sauti juu ya maslahi ya wananchi chini ya uratibu wa mradi wa kupaza sauti za vijana na wanawake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *