Miaka 32 baadaye, wananchi wa nchi hiyo wameweza kuishi pamoja kwa amani kulijenga taifa lao. Je, nini wamefanya hata kufikia mafanikio hayo? 

Leah Mushi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amefanya mazungumzo na Waziri wa sheria na ambaye pia ni mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo Dkt. Emmanuel Ugirashebuja aliyefika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 32 yangu mauaji hayo yatokee. 

Katika mahojiano haya ya dakika 6 utasikia ujumbe aliokuja nao Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, Siri ya kuweza kuishi kwa amani, juhudi za kujenga umoja wa kitaifa na ujumbe wake kwa dunia kutokana na walichojifunza baada ya mauaji hayo ya kimbari. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *