Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi dk Charles Msonde amepongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA kwa kuweza kuboresha muundo wa mpya wa watumishi na kutatua changamoto mbalimbali za kiutendaji ikiwemo kuanzishwa kwa kampuni tanzu.
Ni wimbo wa wa mshikamano wakati wa ukifungua baraza la wafanyakaza wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA ambapo Naibu Katibu Mkuu amepongeza menejimenti na wafanyakazi wote kwa kazi nzuri lakini pia akapiga marufuku kwa wafanyakazi kuingia kwenye migongano ya kimaslai na tamesa kwa wafanyakazi kuwa na gereji au maduka ya spea.
Naye Kaimu Mtendaji Mkuu TEMESA
Wakili Moses Rajab Mabamba ameishukuru serikali kwa kuruhusu kutumia muundo mpya ambao utaongeza ufanisi zaidi.
Na @jimmy_mengele
(Feed generated with FetchRSS)