#MuunganoCup Katika ziara yao ya kutembelea vivutio mbalimbali hapa Zanzibar, msafara wa wachezaji na viongozi wa Yanga ukapata mapokezi oia kwa ‘vijana wa makachu’.

Tazama ilivyokuwa…

Ziara hii ni moja kati ya zawadi kutoka kwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kwa timu zitakazoingia nusu fainali ya Kombe la Muungano.

#MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *