Bodi ya Utalii nchini (TTB) imesema imeanzisha rasmi utaratibu wa mashindano ya kukimbia kila ifikapo Mei kwa ajili ya kulitangaza eneo la Kitulo ambalo lilishinda Tuzo ya Hifadhi Bora ya Fungate Afrika’ ili kukuza utalii wa eneo hilo.

Mkurugenzi wa TTB, Ephraim Mafuru amesema utalii katika eneo hilo mbali ya kuvutia watalii wa kimataifa pia unavutia watalii wa ndani wanaohitaji maeneo tulivu kwa ajili ya kubadilisha mawazo na kujionea uzuri wa uumbaji.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *