Ndani ya maji ya Ziwa Victoria, mapinduzi ya ufugaji wa samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba yanaendelea kushika kasi, yakichochewa na mikopo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, hali inayowainua kiuchumi vijana na wavuvi katika maeneo ya mwambao.

Vijana waliokuwa hawana ajira sasa wanageuka kuwa wazalishaji wakubwa baada ya kunufaika na mikopo hiyo iliyowawezesha kumiliki vizimba, kupata chakula cha samaki pamoja na vifaranga, hatua inayoongeza tija katika sekta ya uvuvi.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *