Mwili wa mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) JAMES TEMBA aliefariki dunia kwa kukichwa na kisha mwili wake kutupwa mto msimbazi jijini Dar es salaam umezikwa leo nyumbani kwao katika kijiji cha Telamande iliyopo kata ya Old Moshi Magharibi wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *