YANGA vs COASTAL UNION: “Inawezekana kupata matokeo”
Afisa Habari wa Coastal Union, Hussein Mchomvu anasema mchezo wao wa kesho Mei 09, 2026, dhidi ya Yanga SC, sio mwepesi japo kwa namna walivyojiandaa, wanaweza kupata matokeo.
Mechi hiyo itapigwa saa 12:30 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPL #Yanga #CoastalUnion
(Feed generated with FetchRSS)