Kutokana na Serikali ya Awamu ya Sita kuweka Sera rafiki za uwekezaji katika Sekta ya Madini, hasa kwa wawekezaji wa zawa, Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wameeleza wanavyonufaika na Sekta hiyo ikiwemo kupata ajira na kuwafungulia milango ya wao kukua kiuchumi.
(Feed generated with FetchRSS)
