Afisa Elimu Maalum Msingi wa halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoa wa Njombe pamoja na watumishi wengine watatu kutoka halmashauri ya Mji Makambako wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya ofisi na kujipatia fedha zaidi ya shilingi Milioni nane kinyume cha sheria ambazo zimetolewa na serikali kwa ajili ya kusaidia vituo vya kulelea watoto maalum.
(Feed generated with FetchRSS)