Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Hemed Jalala Mwakindenge, amesema Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448 Hijria unapaswa kuwa fursa ya kujitathmini binafsi na kitaifa.
Akizungumza na waumini na Watanzania kwa ujumla kupitia mkutano na wanahabari, amesema ni wakati wa kuimarisha umoja, mshikamano na uvumilivu miongoni mwa jamii.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kulinda amani, kupendana na kushirikiana ili taifa liendelee kuwa na utulivu na maendeleo.
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)