#KombeLaDunia2026 Sweden nao wamepenya kupitia ‘tundu’ la best loser… Kuhusu Tunisia, hakuna habari mpya zaidi ya furushi la magoli walilobeba kurudi nalo Afrika.

FT: Tunisia 1-3 Uholanzi

FT: Japan 1-1 Sweden

Zinafuata Uturuki vs Marekani na Paraguay vs Australia saa 11:00 alfajiri LIVE #AzamSports2HD na #AzamSports4HD

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV #TunisiaNetherlands #JapanSweden

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *