Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema anazungumza na Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Watanzania wote, akieleza kuwa ana imani kuwa ataendelea kuongoza nchi kwa amani kutokana na maombi ya vijana na mapenzi ya Mungu.
Akizungumza na waandishi wa habari Julai 6, 2026, Kiliba amesema hakuna kundi, au watu wanaoweza kuzuia kile alichokitaja kuwa mpango wa Mungu juu ya uongozi wa Rais Samia.
Aidha, amewataka Rais Samia kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kujiamini, akisisitiza kuwa vijana wengi wa Tanzania wanaendelea kuliombea Taifa na viongozi wake.
(Feed generated with FetchRSS)