Nchini Burkina Faso, maelezo zaidi yameibuka kuhusu kukamatwa kwa mahakimu, wakili, na maafisa wa forodha mwezi uliopita.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Kulingana na shirika la kupambana na rushwa, watu hawa wote wanahusishwa na kesi iliyoanza mwaka 2021. 

Maafisa wa forodha wanadaiwa kufanya kujihusiha na kashfa ya rushwa na utakatishaji fedha kwa kudai rushwa kutoka kwa madereva wa malori ili kuruhusu malori kupita licha ya kuwa kufanya malipo ya forodha zilizoidhinishwa ipasavyo. 

Baada ya kushtakiwa, mahakimu wanaosimamia kesi hiyo wanadaiwa kupokea pesa ili kufuta mashtaka hayo, licha ya taarifa za mashahidi, picha, na video zilizokusanywa na wachunguzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *