Hospitali ya Nasser, kusini mwa Ukanda wa Gaza, imetangaza leo Ijumaa, Novemba 14, kwamba imepokea miili ya wafungwa 15 wa Kipalestina kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Miili hiyo imefika hospitalini “kama sehemu ya raundi ya 13 ya kubadilishana miili, na kufanya jumla ya miili iliyopokelewa kufikia 330.”

Kulingana na makubaliano yaliyofikiwa chini ya shinikizo la Marekani, Israel lazima irudishe miili 15 ya Kipalestina kwa kila mwili wa mateka wa Kiisrael aliyekabidhiwa. Mnamo Novemba 12, Israel ilithibitisha kuwa imepokea mwili wa mateka wa Kiisrael Meny Godard.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *