28.11.202528 Novemba 2025 Mikutano kadhaa inatarajiwa kufanyika ili kujaribu kuvimaliza vita vya Ukraine. Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani na jeshi akimbilia Senegal. Papa Leo wa XIV awasili Uturuki na kisha ataelekea nchini Lebanon. https://p.dw.com/p/54PZT Post navigation Horta N’Ta Na Man aapishwa rais wa mpito Guinea-Bissau 28.11.2025