Kansela wa Ujerumani Merz kuanza ziara tete nchini Israel // Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatumaini kufikia makubaliano kuhusu mali za Urusi kufikia mkutano wa kilele wa tarehe 18 Desemba // Shambulio la droni lililofanywa na wanamgambo wa kijeshi wa Sudan limeua watu 50, wakiwemo watoto 33, katika eneo la Kordofan