Miongoni mwa waliofariki ni Luteni Kanali na walinzi wake watatu, waliouawa Alhamisi jioni kwa shambulio la droni katika eneo la Rusizi.

Vyanzo hivyo viliongeza kuwa Burundi imepambana na waasi wa M23 na kuwasababishia hasara pamoja na kufanikiwa kudhibiti vikosi hivyo. Hata hivyo haikutoa maelezo zaidi.

AFP imeripoti kuwa kufikia jana, bado mapigano yalikuwa yakiendelea katika eneo la Kivu Kusini.Mauaji hayo yametokea huku hali ya wasiwasi ikiongezeka ndani ya jeshi na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye akikatisha ziara yake ya Washington.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *