Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Mataifa unasema watu 200,000 wamekimbia makwao mashariki mwa Congo katika siku za hivi karibuni, wakati waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wakisonga kuelekea mji muhimu wa Uvira / Viongozi wa Ulaya wamekosoa vikali jaribio lolote la Marekani kuingilia siasa za Ulaya