Mwandishi wa fasihi kutoka Nigeria, Chimamanda Ngozi Adichie anasema ‘Mitandao ya Kijamii Inaua Uwezo Wetu wa Kufikiria lakini Fasihi Inafanya Kinyume Chake’.

Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2025 na tukitarajia kuanza mwaka 2026, je kauli hii ina ukweli kiasi gani na unajipanga vipi kuifanyia kazi mwaka 2026?

Maoni yako yatasomwa katika KIPINDI MAALUM CHA KUKAMILISHA MWAKA 2025 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2026 kuanzia saa 3:00 usiku ndani ya UTV.

Utakuwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *