#HABARI: Zaidi ya majiko banifu 10,000 yamejengwa katika kaya mbalimbali za Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa yanayosababisha uharibifu wa mazingira na kupelekea athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.