#HABARI: Gari aina ya Range Rover linateketea kwa moto muda huu katika barabara ya Mandela na kusababisha foleni maeneo ya Mwananchi jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo hakijajulikana mara moja.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania