#HABARI:Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili Januari 18, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania