Asangye Bangu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) #Clouds360 kueleza kuhusu tukio kubwa la kurasimisha utekelezaji wa stakabadhi za ghala kwa kutumia njia ya meneja dhamana. Ameambatana na Cliff Shedrack- Mkurugenzi wa CGS Collateral Co.Ltd #Clouds360