Iran yaonya kuwa itasitisha mkataba wa IAEA iwapo vikwazo vya UN vitarejeshwa
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema kuwa makubaliano ya hivi karibuni kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA yaliyofikiwa mjini Cairo yatasitishwa ikiwa vikwazo vya Umoja…