Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Kufikia Jumatatu, Septemba 1, Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia ina jimbo jipya, Jimbo la Kaskazini-Mashariki, lililoundwa kutoka kwa maeneo yaliyojitenga ya Somaliland ambayo yalipendelea kujiunga na serikali ya Mogadishu. Somaliland…
Ubelgiji italitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prévot ametangaza leo Jumanne, Septemba 2, akiungana na nchi zingine…
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 33 zilizopita Ndege aina ya Boeing B-29 ilikuwa mshambuliaji mahiri zaidi wa Vita vya Pili vya Dunia, na ilikuwa ghali zaidi kuiunda kuliko mabomu…
Nchini DRC, hatima ya kisheria ya waziri wa azamani wa sheria wa DRC Constant Mutamba itajulikana Jumanne, Septemba 2. Waziri huyo wa zamani wa Sheria, ambaye alilazimika kujiuzulu mwezi Juni,…
“Matendo ya wapenzi wa jinsi moja” sasa yamepigwa marufuku na kuharamishwa nchini Burkina Faso. Sheria inayoruhusu vifungo vya hadi miaka mitano jela imepitishwa siku ya Jumatatu, Septemba 1, na Bunge…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Jaji wa ngazi ya juu zaidi wa Ghana, Gertrude Araba Esaaba Torkornoo, ameachishwa kazi Jumatatu, Septemba 1 na Rais wa Jamhuri. Kufukuzwa kazi kwa Jaji Mkuu, jambo ambalo halijawahi kutokea…
Zaidi ya miezi sita kabla ya uchaguzi wa rais nchini Congo-Brazzaville, mchakato wa mapitio ya orodha ya wapiga kura umeanza siku ya Jumatatu, Septemba 1. Utaendelea kwa miezi miwili. Imechapishwa:…
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Dakika 29 zilizopita Vilabu vya Ligi Kuu England vimetumia fedha nyingi kuliko wakati wowote ule kwenye dirisha moja la usajili, baada ya matumizi…
Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Mauaji ya Kimbari, chombo kinachoongoza katika suala hili na wataalam wake wakuu, wamepitisha azimio siku ya Jumatatu, Septemba 1, na kuthibitisha kwamba hatua za…
Mchakato wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umekwama. Wakati wajumbe bado wako Doha kwa karibu wiki mbili, lakini kwenye uwaja wa vita, mkwamo unasalia kati ya mapigano…
Shirika la Ushirikiano la Shanghai linafanyika huku kukiwa na migogoro mingi inayoathiri wanachama wake moja kwa moja: makabiliano ya kibiashara ya Marekani na China na India, vita vya Ukraine, na…
Chanzo cha picha, Reuters Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 1,000 katika milima ya Marra magharibi mwa Sudan, kulingana na kundi la waasi la Sudan Liberation Movement/Army. Mvua…
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa, juma hili walieleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi dhidi ya wapinzani…
Wapalestina 31 wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel katika ukanda wa Gaza huku jeshi la nchi hiyo likiendelea na operesheni kubwa katika mji mkuu wa eneo hilo. Kwa mujibu…
Xi Jinping amewahutubia viongozi akiwemo Rais wa Belarus Alexander Lukashenko na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, akisema kuwa mfumo wa sasa wa uendeshaji wa dunia “unazidi kuwa wenye utata”…
Maporomoko makubwa ya udongo kwenye eneo la Darfur Magharibi nchini Sudan, yamesababisha maafa makubwa ikiwemo kufunika kabisa vijiji na kuua watu zaidi ya elfu 1, imesema taarifa ya kundi la…
Takriban watu 1,000 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la milima ya Marra, magharibi mwa Sudan na kumwacha mtu mmoja pekee aliyenusurika. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mnamo…
Kim Jong Un anatarajiwa kuungana na Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Urusi Vladimir Putin na viongozi wengine wa dunia katika tukio hilo la kihistoria ambapo China itaonesha nguvu…
Tetemeko hilo ambalo limeikumba jimbo la Kunar, limesababisha vifo vya zaidi ya watu 800 na kuwajeruhi maelfu ya wengine, na kuacha mamia makaazi rasmi na huduma za msingi. Msaada huo…
Ulimwengu wote huungana kila Agosti 30 kuadhimisha siku ya kimataifa ya watu waliopotea.Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu,ICRC inasema watu karibu laki tatu wameorodhesha kutoweka kote ulimwenguni,na wengine huenda wasiwahi…
Mkutano huo wa kilele uliofanyika katika mji wa bandari kaskazini mwa China Tianjin umewaleta pamoja viongozi wa Urusi, China, India, Kazakhstan, Pakistan, Iran, Belarus, Tajikistan, Uzbekistan na Kyrgyzstan. Jumuiya ya…
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 02 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
DIRA.BZ02.09.20252 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China na mwenzake wa Urusi wameikosoa mitazamo ya nchi za Magharibi wakati wa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya SCO…
SK2 / S02S02.09.20252 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu 1,000 wameangamia nchini Sudan, baada ya maporomoko ya udongo kutokea katika jimbo la Darfur / Kwa mara…
“Utendaji wa Rais Samia anastahili kupata alama ‘A’, kwa sababu wakati ameingia madarakani mazingira ambayo aliyakuta kiasi ambacho biashara ya Tanzania duniani ilikuwa dola Bilioni 17 tu , leo biashara…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 01, SEPTEMBA 2025
#DAKIKA45: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, David Kafulila, anaeleza namna serikali inavyoshughulika na masuala ya wanyonge. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#DAKIKA45: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, David Kafulila, anajibu suala la mafisadi kutozungumziwa, hali inayotafsiriwa tofauti. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
Zanzibar sasa imejiunga rasmi na ulimwengu wa masomo ya kidijitali kupitia teknolojia ya Smart Class, maarufu kama darasa janja – na mabadiliko yake yanaonekana wazi. Ndani ya Shule ya Sekondari…
“Hivyo vituo vya afya ambavyo vilikuwa vinalazimika kuzuia maiti, kushinikiza familia ziweze kulipa, kuzuia inaongeza simanzi na majonzi”-David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa PPP #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania…
“Ni ukweli kwamba deni la taifa, ukilipima katika mizania yote ni dogo kulinganisha na nchi nyingine zote katika ukanda huu wa Afrika Mashariki” David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa PPP…
🔴DAKIKA 45 NA DAVID KAFULILA, SEPTEMBA 01, 2025
#HABARI: Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kushirikiana na Benki ya CRDB wamefanya kikao cha pamoja kilicholenga kujadili ushirikiano katika uwekezaji wa sekta ya miliki ili kuboresha na kuendeleza makazi…
#HABARI: Jeshi la Polisi Wilaya ya Bariadi, Kikosi cha Usalama Barabarani, limetangaza Oparesheni kuwasaka na kuwachukulia hatua Maafisa Usafirishaji(BODABODA) wanaokiuka Sheria ya matumizi ya vyombo vya usafirishaji kwa kunyofoa baadhi…
🔴TAARIFA YA HABARI SEPTEMBA 01, 2025 –
#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini,…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetoa msamaha wa kutochukua hatua kwa watu au mtu yeyote anayemiliki silaha kwa njia za panya, endapo ataisalimisha kwa hiyari…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Anicet-Georges Dologuele, ameamua kufuta uraia wake wa Ufaransa, ili kuwania urais katika nchi yake. Imechapishwa: 01/09/2025 – 18:01 Dakika 1 Wakati…
Vyombo vya Habari zaidi ya 250 katika nchi zaidi ya 70 duniani, zimechapisha Habari kuu, siku ya Jumatatu, kulaani kuendelea kuuawa kwa wanahabari kwenye ukanda wa Gaza na kutaka mashambulio…
Wakfu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini wa Thabo Mbeki, umeandaa kongamano la kujadili namna ya kupata amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 01/09/2025…
Wakfu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini wa Thabo Mbeki, unaandaa kongamano la kujadili namna ya kupata amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 01/09/2025…
Hata hivyo juhudi hizo tayari zinakumbwa na changamoto kwa kuwa kuna baadhi ya maeneo yasiyofikika kwa urahisi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM, limeliambia shirika la habari la…
Taarifa iliyochapishwa na shirika la habari la China, Xinhua, wanachama hao 10 wa SCO pia wameikosoa vikali Marekani na Israel kwa kuishambulia Iran mnamo mwezi Juni. Taarifa hiyo imetolewa baada…
Urusi inashutumiwa kuhusika na tukio la kuzimika ghafla kwa mfumo wa GPS wa ndege iliyokuwa imembeba Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen wakati ikiwa…
Machafuko ya mwishoni mwa wiki yalikuwa ni mabaya zaidi kushuhudiwa nchini humo kwa zaidi ya miongo miwili. Karibu watu 500 walikusanyika nje ya bunge la Indonesia mjini Jakarta mchana wa…
Wachambuzi wanakosoa kuwa matamshi ya kiongozi huyo yanabainisha kosa jingine la kihistoria ndani ya utawala wa Trump. Katika mtandao wa X akaunti iitwayo “Republicans against Trump” iliandika Vita vya Pili…
01.09.20251 Septemba 2025 Kaskazini mwa Kenya, kaunti za Turkana na Marsabit zinatatizika kupata maji safi na salama. Maji ya chumvi katika Ziwa Turkana katikati yao yamekuwa si chanzo cha maji…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA : SEPTEMBA 01, 2025 – WANANCHI WAOMBA KUSAIDIWA VIFAA VYA UJENZI