Tetesi za Soka Jumanne: Jackson kutua Bayern, Maino kutimka United
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 2 zilizopita Chelsea imekubali kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa Senegal mwenye umri wa miaka 24 Nicolas Jackson kwenda Bayern Munich. (Bild) Kiungo wa England…