Mwanamke aliyegunduliwa na ujauzito katika ini lake – ilikuwaje?
Chanzo cha picha, Prabhat Kumar/BBC Maelezo ya picha, Intrahepatic ectopic pregnancy ni mimba adimu zaidi duniani. Katika hili, mtoto huanza kukua katika ini badala ya mfuko wa uzazi 13 Agosti…