Zelensky: Urusi inaukwepa mkutano kati ya yangu na Putin
Zelensky pia ametoa wito kwa washirika wa Ukraine kuiwekea Urusi vikwazo vipya kama haitoonesha dhamira ya kweli ya kusitisha uvamizi wake Ukraine. Rais huyo wa Ukraine aliyekuwa akizungumza katika mkutano…