Savula amfanyia dharau Sifuna, adai hana nyota ya uongozi na mishemishe zake ni kama moto wa gazeti
Ayub Savula wa Kakamega amempuuza ushawishi wa kisiasa wa Edwin Sifuna, akitabiri kuinuka kwa UDA Magharibi mwa Kenya baada ya Raila na Ruto kuendelea kuinuka.