Takriban watu 37 wafariki kutokana na mafuriko Morocco
Takriban watu 37 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Safi nchini Morocco huku wengine 14 wakiendelea kupata matibabu na wawili wakiwa mahututi.