Jumapili, 15 Februari, 2026
Leo ni Jumapili 26 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 15 Februari 2026 Miladia.
Leo ni Jumapili 26 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 15 Februari 2026 Miladia.
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amedai dunia imekaribisha nafasi ya uongozi wa Marekani.
Shirika la habari la Reuters limenukuu chanzo kimoja na kutangaza kuwa ujumbe wa Marekani unaojumuisha Steve Witkoff na Jared Kushner, utakutana na maafisa wa Iran mjini Geneva, Uswisi siku ya…
Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema, analengwa na hujuma za kumchafulia jina na kumtaja…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito mkali wa kuhakikisha haki na mageuzi yanatekelezwa na kuimarishwa ushirikiano wa kimataifa, huku akiutaja Umoja wa Afrika AU, kama “kinara…
Chama cha Taifa cha Bangladesh (BNP) kimetangaza kuwa kitaunda serikali mpya ifikapo kesho Jumapili, baada ya kupata ushindi wa kishindo wa theluthi mbili ya viti vya Bunge katika uchaguzi wa…
Rais Xi Jinping wa China ametangaza kuwa, nchi yake itaziondolea ushuru nchi zingine za Afrika ifikapo mwezi Mei mwaka huu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Umoja wa Ulaya unahitajika kufanya marekebisho makubwa katika mbinu zake "zisizo za kujenga" kuhusu Tehran.
Algeria jana Ijumaa ilianza kusafisha baadhi ya maeneo ya majaribio ya silaha za nyuklia yaliyofanywa na Ufaransa katika jangwa la nchi hiyo katika kipindi cha ukoloni, miaka ya 1960.
Idara ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza inasema kuwa maelfu ya miili ya Wapalestina waliouawa katika mashambulizi ya Israel bado imezikwa chini ya magofu ya majengo yaliyoharibiwa katika…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba uhalifu unaofanywa na wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces (RSF) huko El Fasher nchini Sudan ni sawa…
Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola, amejibu maoni ya mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe kuhusu uhamiaji, akisema kwamba kuna haja ya "kukumbatia tamaduni zingine ili kuifanya…
Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa pigo kubwa la kisheria kwa jitihada za serikali ya nchi hiyo za kunyamazisha uungaji mkono wa wazi watu kwa Palestina, baada ya kutoa uamuzi kwamba…
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Isael zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi…
Chama cha Jamaat-e-Islami, chama kikubwa zaidi cha Kiislamu nchini Bangladesh, kimehoji matokeo ya uchaguzi uliofanyika nchini humo majuzi, ambapo kimeshika nafasi ya pili kwa kupata viti 74 baada ya Chama…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi wa hivi karibuni wa utawala ghasibu wa Israel wa kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikisema…
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodríguez, amesema kwamba anaongoza nchi hiyo kwa kuzingatia vifungu vya Katiba, akikanusha madai kwamba Marekani inaendesha Venezuela, huku akisisitiza kwamba Nicolas Maduro anasalia kuwa…
Madagascar, kisiwa kikubwa zaidi barani Afrika na makao ya jamii ya Malagasy, iliingia katika moja ya vipindi vya giza zaidi katika historia yake mwishoni mwa karne ya 19.
Leo ni Jumamosi 25 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 14 Februari 2026 Miladia.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya…
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa nchi tatu za Ulaya, yaani Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani, zimehusika katika uchochezi na machafuko ya karibuni dhidi ya Iran.…
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa Kenya itafungua tena mpaka wake na Somalia mwezi Aprili, baada ya kufungwa kwa muda wa miaka 15 kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara…
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walipaza sauti na kufunga barabara kadhaa mjini Melbourne, chini ya ulinzi mkali wa mamia ya polisi, wakati Rais wa utawala haramu wa Israel Isaac…
Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetuma kwa mafanikio satelaiti yake ya kwanza maalumu kwa utangazaji, iitwayo “Jam‑e Jam 1”, inayojulikana kimataifa kama “Iran DBS”. Hatua…
Tume ya Umoja wa Afrika (AU) imekaribisha kutiwa saini kwa kanuni za marejeo ya mfumo wa kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na muungano…
Tume ya Umoja wa Afrika (AU) imekaribisha kutiwa saini kwa kanuni za marejeo ya mfumo wa kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na muungano…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewasifu na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi kote nchini katika maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi…
Iran imelaani vikali uamuzi wa hivi karibuni wa utawala wa Israel wa kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikisema kuwa hatua hiyo inalenga kupanua…
Takriban watu 21 walikufa maji wakati boti iliyokuwa ikiwasafirisha ilipozama katika Mto Nile kaskazini mwa Sudan.
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) za wanamgambo wa kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yameuwa raia wawili na kujeruhi wanne katika jimbo la Kordofan Kusini. Haya yamebainishwa jana…
Katika jitihada za kupunguza viwango vya juu vya magenge ya uhalifu na jinai nyingine, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza kwua atatuma jeshi ili kushirikiana na polisi katika suala…
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena jana Alhamisi lilithibitisha kuhusu mamlaka ya kujitawala na umoja wa arfdhi nzima ya Somalia na kutupilia…
Leo ni Ijumaa 24 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 13 Februari 2026.
Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema katika mahojiano na gazeti la Financial Times kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia…
Ikulu ya Russia ya Kremlin imethibitisha kwamba maafisa wa nchi hiyo hawana mpango wa kuhudhuria mkutano wa kwanza wa Bodi ya Amani (ya Gaza) uliopangwa kufanyika Februari 19 huko Washington.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Muhi al-Din Salem Ahmed amekariri wito wake kwa Umoja wa Afrika, akiitaka AU kufuta hatua yake ya kuisimamishia uanachama nchi hiyo ya kaskazini…
Maelfu ya raia wa Uingereza wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, uwepo wa meli za Iran katika bahari na maji ya kimataifa ni mseto wa nguvu za kijeshi…
Rais Masoud Pezeshkian amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi "katika hamasa ya aina yake" katika maandamano ya kitaifa kote nchini ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka…
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa umati mkubwa wa wananchi wa walioshiriki katika maandamano ya kitaifa ya kuadhimisha kumbukumbu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Brigedi za al Qassam, tawi ila kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa vita yoyote dhidi ya Iran ni sawa na shambulio dhidi ya Umma…
Wazimbabwe wametofautiana kuhusu hatua ya baraza la mawaziri ya kuunga mkono muswada unaokusudia kubadilisha katiba ili kumruhusu Rais Emmerson Mnangagwa mwenye umri wa miaka 83 kubakia madarakani hadi angalau mwaka…
Libya imetoa leseni kwa ajili ya uchimbaji na uzalishaji mafuta kwa makampuni kadhaa za nishati za kigeni, ikiwa ni pamoja na makampuni makubwa ya Chevron na BP kwa mara ya…
Ikiwa ni katika kuadhimisha mwaka wa 47 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, maandamano ya tarehe 22 Bahman sawa na tarehe 11 Februari yamefanyika mjini Tehran sambamba na miji mingine…
Uwezo wa makombora ya balestiki ya Iran ni "mstari mwekundu" ambao hautawekwa katu kwenye meza ya mazungumzo. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa ulinzi wa Jamhuri ya…
Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza baada ya kukutana na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba mkutano huo ulikuwa "mzuri sana" na akasema: "nimesisitiza kwamba…
Paul Mackenzie, kiongozi wa tapo la kikristo nchini Kenya aliyewaamuru wafuasi wake wajiue kwa njaa wao na watoto wao ili waende mbinguni amesomewa shtaka jengine jipya yeye na wenzake saba…
Upigaji kura unaendelea nchini Bangladesh katika uchaguzi muhimu unaoonekana kama mtihani muhimu wa kurejea kwa demokrasia nchini humo baada ya vuguvugu la umma lililoongozwa na wanafunzi kumng'oa madarakani kiongozi wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa mjibizo kwa madai ya Marekani kwamba nchi hiyo ilifanya jaribio la nyuklia mnamo mwaka 2020 na kusisitiza: "Marekani ndiyo chanzo…
Viongozi wa nchi mbalimbali wametuma jumbe kwa Rais wa Iran wakimpongeza kwa mnasaba wa Siku ya Taifa ya Iran na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.