Marais wa Rwanda na DRC kutia saini makubaliano ya amani
Marais Felix Tshisekedi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wiki ijayo wanatarajiwa kutia kusaini makubaliano ya mwisho yanayolenga kufikia amani ya kudumu mashariki mwa…