Maji yafika jamhuri, wanafunzi wanusurika kutembea km 3
IRINGA: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Jamhuri, iliyopo Kijiji cha Ilongo, Kata ya Ilongo wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama shuleni baada ya…
IRINGA: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Jamhuri, iliyopo Kijiji cha Ilongo, Kata ya Ilongo wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama shuleni baada ya…
KIGOMA: MKUU wa Mkoa Kigoma, Balozi Simon Sirro amezitaka Wakala wa Barabara (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) kuekeleza majukumu yao ya utekelezaji wa miradi ya…
DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC), inayosimamiwa na Taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), inatarajia kufanya kambi…
TABORA: SERIKALI imetumia Sh milioni 686 kujenga Ktuo cha Afya cha Nsenda chenye lengo la kuboresha na kusogeza huduma za afya karibu na wanachi 18,998 kutoka vijji vitano vya kata…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuwawezesha vijana wa Tanzania kwa kuwapatia ujuzi na fursa muhimu kuhusiana na masuala ya uwekezaji pamoja na ujasiriamali wakiamini kwamba mambo…
ARUSHA: VIJANA nchini wametakiwa kutumia bunifu ili waweze kupata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi kupitia biashara mbalimbali kupitia mashirika binafsi na serikali kwa ujumla Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu…
SERIKALI imeagiza mipango na bajeti za halmashauri vizingatie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Taifa wa Maendeleo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeonya wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi, ikisema watawagundua na kupata hasara zaidi. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alitoa onyo hilo akizindua Kituo cha Huduma kwa…
SERIKALI imezindua awamu ya kwanza ya mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100. Awamu hiyo inahusisha shule 52 za sekondari na chuo kimoja…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza watendaji waache kuzoea matatizo ya wananchi na kuyaona ni salamu za kawaida. Dk Mwigulu ameyasema hayo Lushoto mkoani Tanga akiendelea na ziara kutembelea miradi…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imejipanga kikamilifu kumaliza changamoto za usafiri na usafirishaji wa mizigo katika Kisiwa cha Pemba. The…
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao katika ziara yake mkoani Tanga kubaki mkoani humo ili kufuatilia na kutatua changamoto zilizoibuliwa na wananchi. Masuala hayo yalitokana…
KIKUNDI cha Vijana Wazalendo kutoka Mamlaka ya Mji Mdogo Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa, kimekabidhiwa magari mawili yenye thamani ya Sh milioni 75 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji, ikiwa ni…
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua huduma ya usafirishaji wa makontena kwa kutumia Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR), hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano bandarini…
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 17, 2026 imekutana na Rais mstaafu wa Jumuiya…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema uandishi wa vitabu una mchango mkubwa katika kuhifadhi utamaduni wa taifa na kujenga uzalendo kwa watoto kupitia vitabu vinavyoakisi maadili…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemaliza mgogoro wa takriban miaka 15 kuhusu umiliki wa nyumba namba 12, kiwanja namba 15, eneo la Kariakoo uliokuwa ukihusisha familia…
Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kifo cha mwanamuziki mkongwe, Steven Hiza. Hiza amefariki jana jioni nyumbani…
DAR ES SALAAM: KUFUATIA ongezeko la matumizi ya huduma za kifedha kupitia mawakala wa mitandao ya simu, Benki ya Equity Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas…
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya…
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesifu matumizi sahihi ya fedha za kodi za watanzania katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere. Hatua hiyo ni kufuatia ziara yao…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, amesema kuwa jukumu la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ni kuandaa na kusambaza vitabu vya shule, ikiwemo vitabu vya kiada na…
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imepokea vifaa tiba vyenye thamani ya Sh milioni 183 kutoka Shirika la Operation Smile ikiwemo darubuni za upasuaji bobezi na darubini za kujifunzia ambavyo…
JESHI la Polisi nchini limetoa mafunzo kwa watendaji wa mtaa, vijiji na kata mkoani Geita ili washiriki kikamirifu katika kulinda amani na kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Chifu…
UJENZI wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na upana wa mita 41 unaeendelea mkoani Dar es Salaam. SOMA: Mambo yaiva ujenzi daraja Jangwani Wizara ya Ujenzi imesema…
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uamuzi makini wakubadili ahadi aliyotoa wakati wa kampeni zake kuwania uraiskwa kipindi cha pili na kuifanya kuwa hatua ya kitaifainayopimika ndani ya mioyo ya Watanzania.…
MALAWI; WAFANYABIASHARA wadogo watanufaika na Mfumo Rahisi wa Kurahisisha na Kuimarisha biashara (STR) zinazofanyika katika mipaka ya Tanzania na Malawi, hususan mpaka mkubwa wa Kasumulo na Songwe. Makubalino hayo ni…
BENKI ya Dunia imeonya kuwa Bandari ya Mombasa, kitovu cha uchumi wa Kenya na lango kuu la biashara Afrika Mashariki inakabiliwa na uzembe mkubwa wa kiutendaji unaochangia hasara za mamilioni…
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba akipiga ngoma katika eneo la Mombo wakati akihitimisha ziara yake Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Dk Mwigulu anaendelea na ziara mkoani humo leo kwa kutembelea…
DAR ES SALAAM: WAJASIRIAMALI wanawake bado wana fursa ya kukuza mitaji, na kutunza fedha zao kupitia akaunti maalumu ya Waridi ya Benki ya Akiba Commercial Bank (ACB). Akizungumza jana, Meneja…
MGANGA Mkuu wa Serikali Dk Grace Magembe amevitaka vituo vyote vya tiba nchini kuwa na mfumo wa huduma jumuishi badala ya kila huduma kutolewa peke yake. Dk Magembe amesema hayo…
DODOMA: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amehimiza Idara ya Maliakale kuongeza ubunifu katika kutangaza vivutio vya maliakale na makumbusho ya kihistoria ili kuvutia watalii wengi wa…
KWA Mara ya kwanza Taasisi ya Tiba ya Ubongo na Mifupa Muhimbili(MOI) inatarajia kufanya upasuaji wa kisasa wa kutoa uvimbe kwa saratani katika ubongo kwa kutumia rangi maalum kwa watu…
ZAIDI ya Wasichana 13,000 wenye umri kati ya miaka 13 na 21 waliokatisha masomo ya sekondari kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ujauzito, wamejisajili na kurudi shuleni kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu…
KAMATI ya Bunge ya Miundo Mbinu imeishauri Serikali kuwaingiza kwenye mfumo wa mikopo wanafunzi wa urubani katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ili kupunguza changamoto ya ada kubwa na…
WATU watano wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya mchanga ya Bolbit, Kijiji cha Makuyuni, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga. The post Watu watano wafariki dunia Korogwe…
WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza wajumbe wa kamati mapokezi na kamati za ujenzi za mradi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe mara moja na kuhojiwa kuhusu…
UMOJA wa Afrika (AU) imemthibitisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kinara wa Afya ya Mama na Mtoto barani Afrika, kufuatia mafanikio makubwa ya kupunguza…
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amepokea ombi la Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, la kuitaka Serikali kuipandisha hadhi Nzega…
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuweka historia mpya barani Afrika kwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa Umoja wa Afrika (AU) ifikapo mwaka 2028. Endapo hatua hiyo itakamilika, atakuwa kiongozi…
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amemuagiza msimamizi wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Puge kuhakikisha ujenzi wa shule hiyo…
Zanzibar: Kampuni ya Infinity Developments imezindua rasmi mradi wa makazi na matumizi mchanganyiko wa Infinity Hills katika eneo la Kikwajuni, Stone Town, baada ya kukamilisha taratibu zote za kisheria. Infinity…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) isimamie shule zote nchini ziwe na matundu ya vyoo ya kutosha. The…
UTEKELEZAJI wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022–2025/2026 umewezesha kuanza utekelezaji wa miradi mitano ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP).…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameendeleza nafasi ya Tanzania katika jukwaa la Afrika na kimataifa kama sehemu ya kuimarisha diplomasia ya kiuchumi ili kufi kia malengo ya Dira ya Taifa ya…
BAGAMOYO: Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT) kimeiomba Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kuwasaidia wajane kwa kuwapatia mitaji na vitendea kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao.…
ZANZIBAR; MPIRA UNAUMIZA, lakini mpira pia unakera. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na JS Kabylie uliomalizika…
MOROCCO; AZAM imemaliza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na pointi tisa, lakini imekwama kutinga robo fainali. Azam leo imepoteza mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi…
ZANZIBAR; NI mapumziko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Uwanja wa New Amaan Complex kati ya Yanga ya Dar es Salaam na JS Kabylie ya Algeria na…
ZANZIBAR; Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (Kakama) imesherehekea mwaka wake wa 10 katika tukio kubwa lililofanyika makao makuu yake Zanzibar, ikionesha dira muhimu katika kukuza Kiswahili kama chombo cha…