Mradi njia ya umeme Chalinze-Dodoma wafikia 89%
PWANI: Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma wenye urefu wa kilometa 345 umefikia asilimia 89 ya utekelezaji na unatarajiwa…
PWANI: Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma wenye urefu wa kilometa 345 umefikia asilimia 89 ya utekelezaji na unatarajiwa…
MOROGORO: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, amesema Kada ya Maendeleo ya Jamii inapaswa kuwa injini ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya…
DAR ES SALAAM: Serikali imeongeza msukumo wa kuunganisha tiba asilia na tiba za kisasa kwa kuwataka wanasayansi na wataalamu wa afya nchini kutumia mbinu za kisayansi kuthibitisha ufanisi wa maarifa…
DAR ES SALAAM; Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi. Ametoa kauli hiyo Dar…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuvutia wawekezaji zaidi kutoka Poland, huku sekta binafsi ikiendelea kuwa mhimili wa ukuaji wa…
IRINGA: Ndoto za mamia ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Iringa za kujikwamua kiuchumi zimeendelea kupata uhai baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kukabidhi mikopo…
MTWARA: MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Donald Msengi amewahakikishia wananchi mkoani humo kuwa hali ya usalama kwenye mkoa huo iko shwari na tulivu. Akizungumza mkoani Mtwara, mkuu huyo wa…
MARA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeweka mkakati wa kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na miradi inakamilika kwa wakati. Akizungumza…
DAR ES SALAAM; BUNGE la Tanzania linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 100 ya chimbuko la bunge hilo. Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam leo Julai Mosi, 2026 na Spika wa…
KILIMANJARO: MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye…
MTWARA: Vijana 240 katika wilaya za Mtwara, Lindi, Songea na Kigoma wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya ufundi stadi kupitia mradi wa ‘Dumisha Amani’ unaofadhiliwa na mashirika ya kimataifa ya UNPDF,…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania itaendelea kunufaika na soko la pamoja la Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA) na kuchagiza utekelezaji wa Dira ya Maendeleo 2050.…
RAIS wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amepokeo gawio la Sh.bilioni 15 kutoka Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta Tanzania (TIPER) ikiwa ni sehemu ya gawio la Shilingi bilioni 30 lilitolewa na kampuni…
DAR ES SALAAM; SHANGWE la ubingwa. Yanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/26 kufuatia ushindi wa mabao 0-3 walioupata leo…
Unguja. Kampuni ya Floton Africa imetoa msaada wa Sh30 milioni kwa ajili ya kusaidia uanzishwaji wa Kituo Maalumu cha Upandikizaji wa uloto na Matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imekabidhi Serikalini Sh bilioni 61.05 ikiwa ni makusanyo yake ya mwaka, huku ikishika nafasi ya pili miongoni mwa taasisi za umma…
DAR ES SALAAM: Kampuni Puma Energy Tanzania imekabidhi Serikali ya Tanzania hundi ya gawio la Sh bilioni 15 ambayo ni nusu ya faida iliyopatikana, ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi…
TAFITI zinaonyesha kuwa licha ya wanawake kuwa nguzo kuu ya uzalishaji wa mwani nchini Tanzania lakini bado wanakabiliwa na changamoto zinazopunguza tija na kipato chao.
Ni alasiri ya Jumamosi katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi pembezoni mwa Jiji la Dodoma. Chini ya kivuli cha mti mkubwa wa mwembe, wanaume wawili wasimama. Mmoja wao ana…
SONGWE – Ni saa tatu asubuhi. Malori madogo yanaingia moja baada ya jingine katika Ghala la Kalungu, yakibeba viroba vya ufuta vilivyokusanywa kutoka vijiji mbalimbali kupitia Vyama vya Msingi vya…
Chini ya kivuli cha miti mikubwa, meza ya plastiki ya buluu iligeuka kuwa ukumbi wa muda wa kusikiliza ushahidi. Juu yake kulikuwa na kompyuta mpakato, mafaili yaliyofungwa kwa utepe, nakala…
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imechukua hatua kubwa ya kuimarisha elimu ya msingi kwa kuboresha mitaala na kuwajengea uwezo wa kutumia mifumo ya kidijiti kupitia ushirikiano na…
Mashine inaanza kunguruma majira ya saa tatu asubuhi. Ndani ya banda la bati sokoni pembezoni mwa Barabara ya Dodoma–Morogoro, gunia la mahindi linapasuliwa kwa kisu na kumwagwa taratibu ndani ya…
MWANZA: MKOA wa Mwanza umeandika historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa jumla wa Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) 2026, yaliyoshirikisha wanafunzi…
Asubuhi ya Mei 16, 2026, shughuli za usafirishaji wa mazao katika mpaka wa Holili unaounganisha Tanzania na Taveta nchini Kenya zilisimama kwa muda. Haikuwa kwa sababu ya ukame. Wala haikuwa…
TANGA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Tanga, imekuja na mkakati wa kuhifadhi mazingira kwa kuzindua kampeni ya upandaji wa miti 1,000 katika shule mbalimbali za msingi na sekondari…
MAHENGE — Kabla hata mgodi wa kinywe wa Mahenge haujaanza kuzalisha tani moja ya madini, dalili za mabadiliko tayari zinaonekana katika Wilaya ya Ulanga. Zaidi ya wananchi 1,200 waliopisha mradi…
DODOMA: Serikali imesema haijauza wala kukabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni. Akizungumza na waandishi wa habari Juni 26,…
DAR ES SALAAM —Serikali imeweka mkakati wa kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji na uongezaji thamani wa madini barani Afrika kupitia uwekezaji mkubwa katika viwanda vya usafishaji, uchakataji na uyeyushaji…
DODOMA: HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kuwataka Watanzania kushiriki kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji upandikizaji wa figo na uloto kwa kuchangia Mfuko wa Upandikizaji wa Figo na Uloto, huku…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema ushirikiano wa miaka 63 kati ya Tanzania na Sweden umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya elimu,matumizi ya nishati safi, utafiti…
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya huduma za kidijitali na mawasiliano ya Yas, kwa kushirikiana na Chemba ya Wafanyabiashara wa Ufaransa Tanzania (French Tanzania Chamber of Commerce), imeanzisha programu maalumu ya…
KIGOMA: Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imetoa Sh milioni 608.9 kwa vikundi 53 vya wajasiriamali kupitia mpango wa mikopo ya 10% ya mapato yake, hatua inayowanufaisha wanawake, vijana…
JIJI la Dar es Salaam linaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa ya uchafuzi wa mazingira unaotokana na ongezeko la taka ngumu, matumizi holela ya plastiki, uchafuzi wa hewa, pamoja na utupaji…
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikana na taasisi ya Kidodi Foundation wameingia makubaliano ya kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini kwa kulifikia kundi la watoa…
DAR ES SALAAM: JUMUIYA ya Wakongo waishio Tanzania inatarajia kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupitia tamasha kubwa litakalofanyika Juni 30, 2026, katika viwanja…
WAKATI Tanzania ikiendelea kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yenye lengo la kujenga uchumi wa kisasa, wa ushindani na unaojali mazingira, wataalamu wa mazingira wanaonya kuwa ongezeko la hewa…
IRINGA: Mradi wa barabara ya mchepuo ya Iringa (Iringa Bypass) unaendelea kuwa gumzo kubwa bungeni na miongoni mwa wananchi, baada ya kazi zake kusimama katika hatua muhimu ya ujenzi, hali…
DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, ametaka waajiri nchini kutumia kikamilifu fursa ya msamaha wa tozo uliotolewa na Mfuko…
ARUSHA: Wadau wa sekta ya bima nchini wametakiwa kuongeza juhudi za kuwafikia wananchi, hususan waendesha bodaboda na mama lishe, ili kuongeza uelewa na matumizi ya huduma za bima kwa lengo…
ARUSHA: JUMLA ya wanariadha 650 kutoka Tanzania Bara na Visiwani wanatarajiwa kukutana kwa siku mbili, Julai 3 na 4 mwaka huu, katika Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani, kushiriki Mashindano…
DODOMA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka walipakodi na wananchi wote kujitokeza kwa wingi kushiriki katika matembezi na Mbio za Shukrani kwa Mlipakodi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tuzo…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeitaka Tume ya Ushindani (FCC) kuimarisha na kupanua matumizi ya teknolojia za kisasa katika uchunguzi, ufutiliaji wa udhibiti wa bidhaa bandia katika masoko ya kidijitali. Pia…
DAR ES SALAAM: MASHINDANO ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF 2026) awamu ya nane yanatarajiwa kuanza Julai 6, mwaka huu. Mechi ya ufunguzi iitachezwa uwanja wa Azam complex,Dar es…
TABORA: SERIKALI imezitaka taasisi za umma, washirika wa maendeleo na jamii kushirikiana kikamilifu katika utekelezaji wa miradi ya uhifadhi wa mazingira ili kuhakikisha rasilimali za asili zinalindwa kwa manufaa ya…
TANGA: Mkoa wa Tanga umepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari wilayani Pangani, baada ya Mkuu wa…
MTWARA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara imepata hati safi ya ukaguzi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Yamejiri…
SHINYANGA: WATOTO wanaolelewa kwenye kituo cha Muvuma Kata ya Nyasubi Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wameomba kupatiwa Bima ya Afya na ‘solar’. Walezi wa kituo hicho, Agata Charles na Evarist…
MOROGORO: WIZARA ya Madini imesema mapato ya fedha yatokanayo na makusanyo ya madini yamevuka lengo la makadirio yaliyowekwa ya Sh trilioni 1.2 na kufikia Sh trilioni 1.36 katika kipindi cha…
IRINGA: Shirika la Hand in Hand Eastern Africa – Tanzania (HIHEA) limezindua rasmi ofisi yake mkoani Iringa na kuanza utekelezaji wa mradi wa Inua 2, hatua inayolenga kuwainua kiuchumi wananchi…