Equity yafungua tawi Ubungo kuwakutanisha wafanyabiashara
DAR ES SALAAM: Benki ya Equity imezindua tawi jipya katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, ndani ya jengo la Kituo Kikubwa cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC),…
DAR ES SALAAM: Benki ya Equity imezindua tawi jipya katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, ndani ya jengo la Kituo Kikubwa cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC),…
DODOMA: Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Uchumi na Uwekezaji Zanzibar imeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya gesi asilia mkoani Mtwara. Hayo yameelezwa Aprili 16, 2026 wakati wa ziara…
DODOMA: Serikali imeshauriwa kuboresha mfumo wa ajira nchini kwa kuruhusu waombaji wenye sifa na vyeti vya ngazi mbalimbali kushiriki katika usaili wa nafasi za kazi zinazotangazwa pindi zinapojitokeza, bila kuwekewa…
DODOMA: Serikali imepanga kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa katika mwaka wa fedha 2026/27, ikiwemo kufanya utafiti wa kitaifa wa hali ya utawala na rushwa nchini (National…
GEITA: ZAIDI ya wananchi 150,000 katika Mkoa wa Geita wanapata huduma ya umeme, ikiwa ni ongezeko kubwa kutoka wateja takribani 1,500 wa awali, hatua inayotokana na uboreshaji wa miundombinu ya…
GEITA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema miradi ya maendeleo inayotekelezwa iendane na thamani ya fedha inayotolewa na serikali kwa ajili…
GEITA: CHAMA Cha Mapinduzi Kimesema siasa haiwezekani bila kuwa na uchumi imara, kwani nguvu na mafanikio ya chama chochote cha siasa inatokana na uimara wa uchumi wake na ndiyo msingi…
MOROGORO: OFISI ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema katika mazingira ya sasa ya utumishi wa umma mafunzo ya maadili kwa viongozi ni suala muhimu hasa katika…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Serikali itaendelea kuunga mkono sekta binafsi kwani ina mchango kwa taifa kutokana na kwa sasa mawasiliano ni nyenzo muhimu…
MOROGORO: ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), imetoa msaada wa dawa za dharura pamoja na vifaa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, kwa…
KAGERA: Mabadiliko ya bei elekezi ya mafuta iliyoanza kutumika Aprili Mosi mwaka huu yamepelekea Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kukutana na wadau wanaotumia usafiri wa majini kufanya tathmini…
DODOMA: VITUO vya Uwezeshaji wananchi kiuchumi nchini vimeendelea kuwa kimbilio la wafanyabiashara, wajasiriamali, wakulima na vijana wanaotaka kuanza biashara wenye mlengo wa kupiga hatua katika shughuli zao za uzalishajimali. Kaimu…
DODOMA: Wizara ya Maliasili na Utalii imewahakikishia wawekezaji na wadau wa michezo ushirikiano wa kutosha kuwezesha ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya kisasa ili kuongeza thamani ya vivutio vya utalii…
KAGERA: Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya elimu na Afya vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 103.2 kwa shule za msingi, sekondari na zahanati mkoani Kagera.…
DODOMA:WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo, ameweka wazi mambo sita ya msingi ambayo Taifa linapaswa kuyazingatia ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa…
DODOMA: serikali imelenga kuondoa vikwazo vinavyokwamisha uanzishwaji na uendeshaji wa biashara kwa kufanya mapitio ya sheria na kanuni ambazo sio rafiki kwa biashara, kupunguza au kufuta tozo na ada zenye…
MOROGORO: SERIKALI kupitia Ofisi ya Kamishna wa kazi imevitaka vyama vya wafanyakazi nchini kufanya maamuzi muhimu kwa njia ya ushirikishaji kwa wananchama wao ili kuondokana na migogoro isiyo ya lazima.…
DAR ES SALAAM: Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa mabalozi wastaafu katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya…
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuhamasisha amani, umoja, mshikamano na maridhiano…
KAIMU Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Patrick Kipangula, amewakumbusha waandishi wa habari kuzingatia maadili ya taaluma yao ili kulinda amani na mshikamano wa jamii. The…
DODOMA: Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa (UWT), Mary Chatanda ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Hospitali Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amesema kuwa ataendelea kutoa mchango wake…
KIGOMA: Jumla ya kaya 1800 katika vijiji 66 mkoani Kigoma zimeunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa kupitia mpango wa umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vjijini (REA) ikiwa…
MBUNIFU wa mavazi kutoka AM_Fashion, Agusta Masaki, amesema kuwa amani iliyopo nchini Tanzania ni nguzo muhimu inayowawezesha wabunifu na wafanyabiashara kufanya kazi zao kwa utulivu na ubunifu mkubwa. The post…
WAKATI Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, inayoongozwa na Mohamed Chande ikiendelea na kazi yake, vijana mbalimbali nchini wameendelea kujitokeza kuunga…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Benki ya Ecobank, ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa…
MWENYEKITI wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), David Mwasyoge, amesema michezo ina nafasi kubwa katika kuimarisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania. The post Mwasyoge: Michezo ni nguzo ya…
DAR ES SALAAM: LICHA ya Yanga SC kuwa na baadhi ya wachezaji majeruhi, ila mchambuzi maarufu wa michezo, Ansibert Rafael ‘Hans Rafael’ anaamini utendaji wa timu haujaathirika kwani kocha msaidizi…
DODOMA: Serikali imeeleza kuwa inaendelea kujenga shule za sekondari katika kata mbalimbali nchini ili kuwapunguzia umbali wanafunzi kote nchini wakiwemo wa Wilaya ya Kisarawe. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa…
MASHINDANO ya urembo ya Miss Tanzania yameingia katika sura mpya baada ya jukumu la kuyaendesha kukabidhiwa rasmi kwa taasisi ya Lamata Village, hatua inayotarajiwa kurejesha hadhi na mvuto wa shindano…
DODOMA: MBUNGE wa Viti Maalumu, Selina Kingalame ameishauiri serikali kuanzisha Mfumo wa Elimu kwa Vitendo (Internship) kwa kada nyingine za elimu kama ilivyo elimu ya utabibu. Mbunge huyo ametoa kauli…
DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Catherine Joachim, amesema kuwa takwimu za utafiti uliofanyika mwaka 2022 zinaonesha kuwa maambukizi mapya ya UKIMWI nchini yanafikia watu takribani elfu 56 kwa mwaka.…
MSANII wa filamu za Bongo Movie, Daniel Lufingo, amesema kuwa uwepo wa amani katika jamii ni jambo la msingi kwa wasanii kwani kazi zao hutegemea mazingira tulivu pamoja na ushirikiano…
WASHINDI wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu wametangazwa katika hafla ya nne ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika Aprili 13, 2026 katika Ukumbi wa The Super…
KAGERA: Ofisa Elimu wa Sekondari Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Wandera Rwakatare ametoa wito Kwa wawekezaji wa shule binafsi kupunguza vita ya kuchonganishana kuzua taarifa za uongo badala yake wajikite…
BABATI: Waumini wa Dini ya Kiislamu Wilaya ya Babati mkoani Manyara wamesema kufunguliwa kwa chuo cha kiislamu cha malezi bora ya maadili kwa vijana kitasaidia kukuza ari ya kumcha Mungu…
SERIKALI imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ambapo jumla ya shilingi bilioni 4.2 zimetengwa katika kipindi cha miaka minne tangu kuanzishwa…
MBUNGE wa Viti Maalumu, Selina Kingalame, ameishauri Serikali kuanzisha mfumo wa elimu kwa vitendo (internship) kwa kada mbalimbali za elimu, kama ilivyo kwa taaluma ya utabibu. Amesema hatua hiyo itasaidia…
DAR ES SALAAM: WAJUMBE wa Baraza la Ushindani Afrika wametakiwa kuja na suluhisho la kupata bidhaa bora kwa bei nafuu kupitia ushindani wa haki na kuleta faida kwa wananchi. Maagizo…
TANZANIA ina jumla ya vijana zaidi ya milioni 21 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 35, sawa na takribani asilimia 34.5 ya Watanzania wote, kwa mujibu wa Sensa ya…
Zanzibar: Ubomoaji umeanza katika eneo la Kikwajuni lililotengwa kwa ajili ya mradi wa matumizi mchanganyiko wa Infinity Hills, ikiwa ni hatua muhimu baada ya kukamilika kwa malipo ya fidia kwa…
MWENGE wa Uhuru umewasili jijini Dar es Salaam ukitokea Mkoa wa Kaskazini Unguja na kuanza mbio zake katika Wilaya ya Ilala, ambapo umetembelea, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika…
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameipongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake mkubwa katika kuwainua wajasiriamali nchini kupitia utoaji wa elimu ya fedha na fursa za mitaji, hatua…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, amekemea vikali uzushi unaosambaa kuwa mwanaume akishikwa begani hupoteza sehemu zake za siri, akieleza…
WATUMISHI wawili wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wameteuliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuwa majaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) makala ya…
MANYARA: WANAWAKE wa vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Manyara wamejengewa uwezo katika kusimamia vizuri malezi na makuzi ya familia zao na kujiimarisha kiuchumi. Mrakibu Mwandamizi wa Polisi…
DAR ES SALAAM — Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, ametoa wito kwa Watanzania kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani na badala yake kuendeleza mshikamano wa…
DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli Mtanzania, Miriam Odemba ameiomba Serikali kujizatiti kuunga mkono tasnia ya mitindo kwani inabeba sekta nyingi ikiwemo utalii. Miriam Odemba ametoa ombi hilo katika tukio maalumu…
Mazungumzo ya saa 21 kati ya Marekani na Iran yakivunjika bila makubaliano, yakihatarisha usitishaji vita na usalama wa usambazaji wa mafuta duniani. The post Mazungumzo ya Marekani na Iran yavunjika…
ARUSHA: Taasisi ya Huduma za Afya ya Aga Khan, Tanzania (AKHST) shirika lililo chini ya Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), kupitia Mradi Mtambuka wa kupambana na saratani kwa…
DAR ES SALAAM: TANZANIA imeendelea kung’ara katika anga la kimataifa baada ya kuingiza vipengele 41 katika Tuzo za Utalii na Usafirishaji Duniani (World Travel Awards), hatua inayoimarisha nafasi yake kama…