TRA yaanza utekelezaji maagizo ya Rais Samia
ARUSHA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa kampeni wilayani Karatu mkoa wa Arusha ya kuitaka TRA…
ARUSHA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa kampeni wilayani Karatu mkoa wa Arusha ya kuitaka TRA…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ameamsha shangwe baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi wa muda mrefu uliohusisha eneo lililotengwa na Serikali kwa ajili ya…
QATAR: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yanayofanyika nchini Qatar ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kupanua wigo wa ushirikiano wa…
ETHIOPIA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mapambano dhidi ya malaria barani Afrika yanahitaji uongozi na usimamizi thabiti wa Waafrika wenyewe, umiliki wa kweli wa programu zake na dhamira ya kisiasa…
Chama Cha Mafundi Tanzania (CMT), Joseph Kusaga Foundation na Unicx AI Data Limited zimeingia ubia mpya wa kimkakati unaolenga kubadilisha sekta ya mafundi Tanzania kupitia teknolojia, huduma za kifedha na…
DAR ES SALAAM: WANANCHI wa eneo la Kimani, Mtaa wa Kinyamwezi, Kata ya Pugu wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam wamelalamika kwa serikali wakidai kuwa mwanamke mmoja amekuwa akifukua makaburi…
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 600 zimewekezwa katika ujenzi wa miundombi- nu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Sa- laam, mradi unaotekelezwa kwa awamu sita kwa…
TANGA: Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amefichua namna baadhi ya watendaji wa serikali wanavyotumia ujanja kuhalalisha upotevu wa fedha katika miradi. Dk Mwigulu alieleza hayo jana baada ya kukagua na…
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sanga amezindua Mkakati wa Kukuza Kazi za Staha kwa Wafanyakazi wa Nyumbani 2025/26 – 2029/2030 kwa lengo…
TABORA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme (TANESCO) itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme katika kila wilaya. Amesema lengo kuhakikisha…
RAIS Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari juu ya ufadhili endelevu wa kutokomeza Malaria pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 amekagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilaya ya Kilindi mkoani Tanga ambao utagharimu sh bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake. Mradi…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Balozi Simon Sirro amesema bodi inafuatilia na kutatua changamoto za Mgodi wa STAMIGOLD ili kuongeza kiwango cha uzalishaji.…
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wakuu wa nchi zinazounda Umoja wa Afrika (AU) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi…
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameshiriki katika Mkutano wa Ngazi ya Juu ulioandaliwa na Taasisi ya Maendeleo…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imevipatia mafunzo maalum vikundi 12 vya utamaduni wilayani Mkalama, mkoani Singida ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kufungua hazina za utalii wa utamaduni katika kanda…
RAIS Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) ambao unaongozwa na Kaulimbiu ya Mwaka 2026 inayosema: “Kuhakikisha Upatikanaji Endelevu wa Maji na Huduma…
ASKARI wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma wametembelea Kituo cha Kulelea Waathirika wa ugonjwa wa Ukoma kilichopo kata ya Litisha Halmashauri ya Songea Vijijini na kuwapatia…
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amezindua Programu ya Nchi ya Kazi za Staha Awamu ya Tatu ya Mwaka 2025/2026 – 2029/2030…
Rais Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Italia na Nchi za Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umewakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano…
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeendelea na vikao vyake leo Februari 13, 2026 kwa kukutana…
OSLO, NORWAY: Mapambano hayo yanahususisha matumizi ya mbinu zote halali na zilizowekwa kwa mujibu wa katiba na sheria ili kufanikiwa azima ya kujiletea maendeleo na kuinua uchumi wa watu wake.…
MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Lameck Mkilia, amesisitiza kuwa kutotekeleza matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPA) ni hatari kubwa kwa…
DAR ES SALAAM: Wizara ya Madini imefanya mazungumzo ya kimkakati na World Gold Council (WGC) kwa lengo la kujadili namna baraza hilo litakavyoweza kuisaidia Tanzania kuvutia uwekezaji zaidi, hususan katika…
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji, amezindua Bodi ya tano ya ushauri ya Wizara kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) hii leo Februari 13, 2026 Jijini…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Balozi Simon Sirro ametembelea baadhi ya miradi ya shirika hilo na kueleza kufurahishwa na utendaji na usimamizi mzuri.…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, leo Februari 13, 2026, amekagua na kufungua Jengo la ICU katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu…
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) Idara ya Dharula na Maafa, pamoja na wadau kutoka taasisi za serikali na binafsi wamejiweke afua za…
MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Nalitolela, mazungumzo yaliyofanyika leo Februari 13,…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kupooza umeme uliopo Mkata mkoani Tanga wenye uwezo wa 2X60MVA 132/33kV, pamoja na ujenzi wa njia…
Leo tarehe 13 Februari dunia inaadhimisha Siku ya Redio Duniani siku maalum ya kutambua mchango mkubwa wa redio katika maisha ya watu kote ulimwenguni Maadhimisho haya yalianzishwa na Shirika la…
HISPANIA: Kiungo wa zamani Arsenal, Thomas Partey, amefunguliwa mashtaka mawili ya ziada ya ubakaji yanayohusiana na madai ya tukio la ubakaji mwaka 2020 dhidi ya mwanamke mwingine. Kwa mujibu wa…
SIKU ya Wapendanao Februari 14 ambayo kwa Kiingereza huitwa ‘Valentine’s Day’ ni siku ambayo watu wengi kuipa hadhi ya mapendo na kuisherehekea maeneo mbalimbali duniani. Historia ya siku hii ilianzia…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amehimiza Watanzania waripoti changamoto za kiafya mapema ili kupata huduma stahiki badala ya kuendekeza waganga wa kienyeji. Dk Mwigulu amesema hayo alipomwakilisha Rais Samia Suluhu…
Zanzibar: Benki ya Exim Tanzania imedhihirisha tena dhamira yake ya muda mrefu katika kuchochea ukuaji na ustawi wa sekta ya utalii kwa kudhamini Z-Summit 2026 kama Mdhamini Mkuu, hafla inayofanyika…
RAIS Samia Suluhu Hassan yuko jijini Addis Ababa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika…
IMEELEZWA kuwa baadhi ya redio zilizoanzishwa nchini zimekufa kutokana na mitaji midogo na kukosekana kwa menejimenti nzuri ya mapato ya taasisi hizo. Haya yameelezwa jijini Dodoma na Meneja wa Huduma…
UMOJA wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo wa thamani wa madini. Mnyonyoro huo ni pamoja na ujenzi wa uwezo kwa wataalamu wa madini, mafunzo…
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe, amewasili nchini asubuhi hi kwa ajili ya Mkutano wa Kamati Tendaji ya Shirikisho hilo. Mutsepe amepokelewa na Waziri…
DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (IA) katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii na kuongeza ufanisi ndani ya taasisi za umma. Naibu Katibu Mkuu,…
DODOMA: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dk Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuendelea kuimarisha uwajibikaji, matumizi sahihi ya rasilimali, mifumo ya…
DODOMA: SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepunguza kwa kiwango kikubwa ada za usajili wa vyombo vya habari mtandaoni, ili kurahisisha uendeshaji wa blogu, Online TV na majukwaa ya…
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, jijini Addis Ababa Ethiopia, leo Februari 12, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa…
DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja. Shoo…
TANGA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano mkoani Tanga kuanzia Februari 13 hadi 17, 2025 kwa lengo kukagua miradi yenye thamani ya Sh bilioni 758.1…
DAR ES SALAAM: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifunga kiwanda cha kutengeneza zege cha JUYE Concrete Company Ltd kilichopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam, kufuatia…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa Afrika haiwezi kushinda vita dhidi ya saratani ikiwa kila nchi itafanya kazi peke yake. Amesema kuwa ili kufikia malengo ya mapambano dhidi ya…
“Tukubali kiroho safi kwamba mwaka huu tuliteleza, tukishafungua nafsi maana yake kila Mwanasimba tarehe 14 atakuja uwanjani kiroho safi,” anasema Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally. Ahmed ametoa kauli hiyo…
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa,…