Tantrade yatangaza mambo mazuri maonesho ya Sabasaba
DAR ES SAlAAM :Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Ya Biashara (TanTrade Dk,Latifa Khamis amesema maonesho ya 50 ya Sabasaba ya mwaka kwa waoneshaji wa ndani ni 3,752 ukilinganisha na…
DAR ES SAlAAM :Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Ya Biashara (TanTrade Dk,Latifa Khamis amesema maonesho ya 50 ya Sabasaba ya mwaka kwa waoneshaji wa ndani ni 3,752 ukilinganisha na…
KIGOMA: Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu…
BODI ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa mfumo huo…
CHINA: Balozi wa Tanzania nchini China, Dk. Suleiman Haji Suleiman, amewataka Watanzania wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini humo mwaka 2026, kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kutumia maarifa,…
KIGOMA: MANISPAA ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma inaelezwa kukumbwa na vitendo visivyo vya kimaadili hatua inayopelekea kuporomoka kwa maadili na utamduni wa mji huo. Kutokana na hali hiyo, Meya wa…
DODOMA; Tanzania inaendelea kuwekeza katika sekta ya bahari, hali inayofungua nafasi zaidi za ajira na ujasiriamali kwa vijana kupitia mafunzo yanayotolewa na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (Dar es…
DAR ES SALAAM: Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za magonjwa yasiyoambukiza makali kwa kusogeza huduma hizo karibu na wananchi, hususan katika hospitali za wilaya na vituo vya afya vilivyochaguliwa…
DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali imekuwa ikikopa mikopo nafuu kwa lengo la kuharakisha maendeleo ya miundombinu ya kisasa ya barabara na viwanja vya ndege nchini, akisisitiza kuwa…
DAR ES SALAAM: Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeitangazia fursa za uwekezaji katika miradi sita mikubwa ya kimkakati ya barabara kuu kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma…
DODOMA: Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kwa kushirikiana na Irish Rule of Law International, kwa ufadhili wa Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania, vinaendesha mafunzo ya siku tatu kwa mahakimu…
MWANZA; Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2026/27 ni kati ya Simba na Azam FC, baada ya Azam FC kuifunga Yanga mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali uliomalizika…
IRINGA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanasiasa wanaohamia kwenye chama hicho kutoka upinzani kutolalamika wanapokosa vyeo. Kimesisitiza kuwa nafasi za uongozi ndani ya chama hupatikana kwa kuzingatia taratibu, kanuni na…
IRINGA: Katika mazingira ambamo Tanzania inaendelea kukabiliwa na pengo kubwa kati ya mahitaji na uzalishaji wa mafuta ya kula, hususan mafuta ya alizeti, Ruaha Milling Company Limited imeanzisha mkakati wa…
IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutowasikiliza wanasiasa wanaotumia majukwaa ya siasa kubeza na kupunguza thamani ya maendeleo…
MTWARA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mtwara imesema, kumekuwa na muamko mkubwa kwa walipa kodi kulipa kodi kwa hiyari pasipo kulazimishwa. Yamejiri hayo hayo Juni 20, 2026 wakati…
IRINGA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali…
MOROGORO: NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amesema TCB Selous Marathon iliyofanyika kwa msimu wa saba katika mkoa wa Morogoro inaunga mkono juhudi za Serikali ya…
IRINGA: Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amezindua Shina la Wakereketwa lililopo Stendi ya Mlandege, Kata ya Kwa Kilosa mkoani Iringa.…
IRINGA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Maoinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewataka wazazi kushirikiana na walimu katika malezi na makuzi ya watoto ili kujenga kizazi…
IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wazazi na walezi kuvitambua na kuviendeleza vipaji vya watoto wao tangu wakiwa wadogo, ili…
ARUSHA;Simba ya Dar es Salaam imetinga kibabe fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baada ya kuitandika Coastal Union ya Tanga mabao 4-0 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha muda…
KILIMANJARO; Zaidi ya watoto 2,000 wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Kwanza la Michezo litakalofanyika Juni 21, 2026 katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), mkoani…
TABORA; Kamandawa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Tabora,…
GEITA: TAKRIBANI vijana 1001 wilayani Geita wamehitimu mafunzo ya ulinzi shirikishi kupitia Programu ya Polisi Jamii mkoani Geita iliyofadhiliwa na Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML). Programu hiyo…
DAR ES SALAAM: Wanafunzi wa kidato cha pili na kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kibamba wamejengewa uelewa sahihi kuhusu ugonjwa wa Siko Seli na baadhi yao kuchukua hatua…
DODOMA: MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa (RMOs) na Waganga Wakuu wa Wilaya (DMOs) kuhakikisha wanaendeleza mafanikio yaliyopatikana kupitia Programu ya Kukuza Huduma za…
DODOMA: Serikali imeipongeza Benki ya NMB kwa kujenga Shule ya Sekondari ya Bweni kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wilayani Bahi mkoani Dodoma. Mradi uliogharimu Sh bilioni 5 na kukamilika kwa…
Soko la fedha za kigeni (Forex) barani Afrika linaendelea kushuhudia ongezeko la washiriki pamoja na kuimarika kwa usimamizi wa kisheria kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Ukuaji huu ni sehemu ya…
DAR ES SALAAM: WANAWAKE wajasiriamali wameendelea kupatiwa nyenzo muhimu za kuwawezesha kukuza biashara zao na kuimarisha ustawi wao kupitia mafunzo mbalimbali nchini. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana…
LONDON, UINGEREZA: Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle, katika makazi rasmi ya Spika leo Juni 18,…
IRINGA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kusukuma utekelezaji wa ujenzi wa kipande kilichosalia cha barabara ya lami katika Wilaya ya Kilolo kupitia Kidabala- Boma la Ng’ombe – Morogoro. Lengo…
IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Kenani Kihongosi amesema kukamilika kwa mradi wa Chuo mafunzo ya ufundi (VETA)unaotekelezwa Kilolo kutafungua fursa kubwa…
UFARANSA: Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kurejea katika mashambulizi na kuwaua maofisa wa Iran iwapo hawatafuata masharti ya makubaliano hayo ya kumaliza vita yaliyosainiwa jana katika mkutano wa G7…
UFARANSA: Rais wa Marekani na Rais wa Iran wameripotiwa kusaini makubaliano ya awali ya amani yanayolenga kumaliza vita, makubaliano yanayoanza mara moja. Makubaliano hayo yanajumuisha kufunguliwa tena kwa Mkondo wa…
IRINGA: Katika kuenzi mchango wa walipakodi ambao wamekuwa uti wa mgongo wa maendeleo ya taifa kwa miongo mitatu, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa itahadhimisha wiki ya mlipa…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa maagizo matano kwa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) ikiwemo kutoa mafunzo kwa watumishi wa umma,…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imepeleka na kusimika maabara mbili jongezi zenye uwezo wa kupima sampuli za ugonjwa wa Ebola katika mikoa ya Kagera na Kigoma ili kuimarisha utayari wa kukabiliana…
IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amegiza kusiwe na pngezeko la muda wa kutekeleza mradi wa Umwagiliaji wa Mgambalenga ili wakulima…
DODOMA; Wizara ya Afya imehimiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola huku ikisisitiza kuwa bado Tanzania ni salama na wageni kutoka mataifa mengine waje bila hofu. Waziri…
IRINGA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM), Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kuendelea kushirikiana na kuwaunga mkono…
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanzisha benki ya mifupa ambayo itakidhi mahitaji na kuwasaidia watu ambao wamepoteza mifupa kutokana na ajali au…
KATAVI: Zaidi ya wananchi 850 waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa afya bila malipo kupitia kambi maalumu ya afya iliyoendeshwa na Taasisi isiyo ya…
KAGERA: Walimu walioko kazini pamoja na vijana ambao hawakupata fursa ya kuendelea na elimu ya juu wametakiwa kutumia vyuo vinavyotoa elimu ya ujuzi kwa njia ya masafa ili kujiendeleza na…
DAR ES SALAAM: WATUNGA sera, watafiti, wataalamu wa kodi, wawakilishi wa sekta binafsi, walipa kodi na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajia kukutana kesho Dar es Salaam kujadili mafanikio ya Mamlaka…
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Masoko na Mauzo Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, Seraphin Lusala, amesema jamii inapaswa kusaidiana na serikali kuhakikisha vituo vya kulelea watoto yatima vinaachana na…
GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameagiza watendaji wa serikali kusimamia na kuhakikisha shule za umma zinafikiwa na nishati ya umeme kupitia mradi wa umeme vijijini. Shigela alitoa…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Mombasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
DA ES SALAAM: Taasisi ya Al Ameen Foundation (AIF) imetoa msaada wa vyakula kwa kituo cha watoto yatima cha Upendo Orphane Center, kilichopo Buguruni Ghana, Dar es Salaam leo Juni…
USWISI: Tanzania imesisitiza kuwa urejeaji wa hiari ndilo suluhisho sahihi na la kudumu kwa wakimbizi, ili kufanikisha lengo la kupunguza idadi ya wakimbizi kwa 50% ifikapo 2035. Juni 16, 2026,…
DAR ES SALAAM: Katika jitihada za kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata huduma za kibingwa bobezi nchini, Serikali imezindua kitabu cha safari ya upandikizaji wa moyo kitakachosaidia kutoa mwongozo na uelewa kwa…