Burkina Faso: Milipuko yasikika karibu na makazi ya Rais, Ouagadougou
Nchini Burkina Faso,milipuko ilisikika karibu na makaazi ya rais jijini Ouagadougou, mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua wasiwasi wa kuwepo kwa jaribio la kumpindua kiongozi wa jeshi Ibrahim Traore. Imechapishwa:…