Utajiri wa Afrika: Kasuku wa kijivu wa Afrika
Kasuku wa Kiafrika mwenye rangi ya kijivu anajulikana zaidi hasa kwa kuwa kati ya ndege wenye akili zaidi duniani
Kasuku wa Kiafrika mwenye rangi ya kijivu anajulikana zaidi hasa kwa kuwa kati ya ndege wenye akili zaidi duniani
Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa hii leo Oktoba 10 ya iwapo Luhaga Mpina ataendelea na mchakato wa kampeni au la.
Mfalme wa Morocco Mohammed VI anafungua bunge siku ya Ijumaa kwa hotuba, huku maandamano yakirindima dhidi ya serikali kote nchini.
Wafanyabiashara zaidi ya 4,000 kutoka Uturuki na Afrika wanatarajiwa kukutana mjini Istanbul kujadili masuala ya biashara, nishati mbadala, na usafirishaji wa mizigo.
Burkina Faso imesema imekataa pendekezo kutoka kwa serikali ya Rais Trump la kuwapokea watu waliotimuliwa kutoka Marekani.
Shirika la ulinzi wa kiraia la Gaza limesema leo kuwa vikosi vya Israel vimeanza kuondoka kutoka sehemu nyingi za eneo hilo, hasa katika mji wa Gaza City na Khan Yunis.
Mamlaka ya Ubelgiji imewakamata vijana watatu wanaoshukiwa kupanga njama ya kumshambulia Waziri Mkuu Bart De Wever na wanasiasa wengine kwa kutumia vilipuzi vya kurushwa kwa droni.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso, imekataa kuwachukua watu waliofukuzwa kutoka Marekani, katika hali inayoonekana kupuuza mojawapo ya sera za uhamiaji za Marekani zilizotiwa saini na Rais Donald Trump.
Senegal imeorodhesha vifo 17 vilivyotokana na homa ya Rift Valley, RVF katika wakati ambapo kuna mlipuko mkubwa usio wa kawaida wa ugonjwa huo unaosababishwa na virusi nchini humo.
Polisi wanatumia mabomu ya machozi, na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji.