Sebo, Abdulmalik wanukia Singida Black Stars
WAKATI uongozi wa Singida Black Stars ukitafuta beki mwingine wa kati, majina ya nyota wawili yamewekwa mezani, ambayo ni Abdallah Kheri ‘Sebo’, anayeichezea kwa sasa Pamba Jiji kwa mkopo akitokea…
WAKATI uongozi wa Singida Black Stars ukitafuta beki mwingine wa kati, majina ya nyota wawili yamewekwa mezani, ambayo ni Abdallah Kheri ‘Sebo’, anayeichezea kwa sasa Pamba Jiji kwa mkopo akitokea…
BAADA ya kukosekana nusu msimu kiungo mkabaji wa KMC, Baraka Majogoro anatarajia kuanza kuitumikia timu hiyo mapema mwezi ujao baada ya ITC yake kupatikana ikitokea klabu ya Chippa United ya…
KIKOSI cha Coastal Union kinatarajia kurudi kambini Desemba 27 mwaka huu tayari kwa ajili ya kujiweka fiti na michezo iliyo mbele yake huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mohammed Muya…
STAND United ‘Chama la Wana’ imeanza kunyanyuka taratibu na kupanda juu katika msimamo wa Ligi ya Championship baada ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwamo ukata na kupokwa pointi na Bodi ya…
TIMU ya taifa, Taifa Stars jana Alhamisi imeondoka kambini jijini Cairo, Misri kwenda Morocco kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, huku mastaa watatu wa…
Refa mstaafu wa kimataifa wa Tanzania, Victor Mwandike, amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam.
KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kimeagwa rasmi jana kabla ya kuanza safari ya kwenda Morocco katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoanza Jumapili, Tanzania…
MLANDEGE ilimsajili kwa mbwembwe, Mshambuliaji Mfaransa, Enzo Claude Sauvage, lakini jamaa hakuanza katika mechi tisa za Ligi Kuu Zanzibar msimu huu kati ya 13 ilizocheza timu hiyo na siri imefichuka…
Taasisi za elimu ya juu zimetakiwa kuimarisha uwekezaji kwa kutenga bajeti katika michezo ili kukuza na kuibua vipaji vya wanafunzi nchini.
KOCHA wa zamani wa Azam FC aliyekuwa akiinoa Wiliete Banguela ya Angola kabla ya kuondolewa hivi karibuni, Mfaransa Bruno Ferry yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na Rayon Sports…
MAAFANDE wa JKT Tanzania wameingilia kati dili la kumpata kwa mkopo nyota wa Yanga, Denis Nkane, baada ya mchezaji huyo anayecheza nafasi mbalimbali uwanjani kushindwa kupenya katika kikosi cha kwanza…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar upo kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa Mlandege, Juma Kidawa ‘Pogba’ kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini dirisha dogo.
BAADA ya kumalizana na Abdallah Kulandana, uongozi wa Mbeya City uko kwenye hatua za mwisho kumalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Singida Black Stars, Azam FC, Ayubu Lyanga kwa ajili ya…
KAMBI ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Misri imeizidi kunoga baada ya kuwasili kwa mastaa wakubwa wa timu hiyo inayojiandaa kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)…
TIMU ya KVZ inayofundishwa na Malale Hamsini, imepokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege, katika mechi ya ligi hiyo iliyochezwa jana Desemba 16,…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah na kiungo wa timu hiyo, Allasane Kante, wamefungiwa kucheza mechi tano kila mmoja kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu waliyofanya dhidi ya Azam FC,…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah na kiungo wa timu hiyo, Allasane Kante, wamefungiwa kucheza mechi tano kila mmoja kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu waliyofanya dhidi ya Azam FC,…
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, amesema hana hofu wala presha na safu ya ushambuliaji ya Nigeria inayoongozwa na nyota wa Galatasaray, Victor Osimhen kwa kueleza anaijenga timu hiyo kwa…
BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban amesema baada ya mshambuliaji wa Azam, Jephte Kitambala kuifunga Simba, timu zingine zinatakiwa zijipange kumzuia, kwani atafunga sana.
WAKATI usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa Januari Mosi 2026 ukikaribia, uongozi wa Mbeya City umemalizana na aliyekuwa kiungo wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana kwa kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja.
Mashabiki wa Simba na Yanga watacheza mechi ya kirafiki, Jumapili, Desemba 21, 2025 kwa lengo la kuhamasisha upendo na umoja baina yao.
BODI ya Ligi Zanzibar, imeitoza faini ya Sh1 milioni Black Sailors inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Zanzibar kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu baada ya kumalizika kwa…
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya michezo unaoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba.
KLABU ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Soka Zanzibar, imemtambulisha Malale Hamsini kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, huku ikielezwa anakwenda kuongeza nguvu kwa kushirikiana na Ali Khalid Omar.
JIJI la Arusha limeendelea kung’ara kwenye ramani ya soka la vijana barani Afrika baada ya jumla ya timu 150 kushiriki mashindano ya African Chipkizi Cup 2025 yanayofanyika kwa msimu wa…
Mwenyewe afunguka hapa!
WAKATI beki wa kati wa Coastal Union, Haroub Mohamed, akibakisha miezi sita katika mkataba wake na kikosi hicho cha jijini Tanga, tayari timu mbalimbali zimeanza kuiwinda saini yake zikiwamo za…
UONGOZI wa Mbeya City huenda ukaachana na mpango wa kumtema kiungo Mnigeria, Paschal Onyedika Okoli katika dirisha dogo la Januari mwakani, baada ya awali nyota huyo kudaiwa hana furaha kutokana…
BEKI kisiki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Noela Luhala amevunja mkataba na klabu ya 1207 Antalya Spor ya Uturuki kwa makubaliano ya pande mbili na kwa sasa…
ULE upepo mzuri ilioanza nao Malindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), umekata baada ya kucheza mechi saba mfululizo sawa na dakika 630 bila kuonja ushindi, huku ikielezwa tatizo ni kutimuliwa…
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa rasmi Januari Mosi, 2026, uongozi wa Azam unaangalia uwezekano wa kuipata saini ya beki wa kulia wa AS Vita Club, Mkongomani Henoc Lolendo…
MABOSI wa TRA United zamani Tabora United, wanaangalia uwezekano wa kumpata kwa mkopo nyota wa Yanga, Denis Nkane, baada ya mchezaji huyo anayecheza nafasi mbalimbali uwanjani kushindwa kupenya kikosi cha…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Azam FC, Jhonier Blanco amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na timu ya Llaneros ya kwao Colombia, baada ya kutokuwa na timu yoyote tangu alipoachana na wanalambalamba aliowatumikia…
CEASIAA Queens imetaja sababu ya nyota wake wawili wa kigeni, Anita Adongo na Diana Cherono kutoonekana uwanjani huku changamoto ya vibali ikiwa mojawapo.
BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa JKT Queens, kocha wa Bilo Queens, Ibrahim Humba, amesema ugeni wa Ligi Kuu na uzoefu mdogo wa mashindano ni kati ya…
MABAO aliyofunga juzi Ijumaa na mshambuliaji wa Tausi FC, Mwanahamis Omary ‘Gaucho’ yamemfanya mkongwe huyo kuwa na rekodi tamu ya mchezaji aliyeifunga Yanga Princess mabao mengi zaidi akifikisha 16 kwa…
KUNA asilimia kubwa kwa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu Uturuki, Ramadhan Chomelo akatimkia Depsas Enerji ya nchini humo.
WINGA Mtanzania, Kassim Mbarouk aliyeitumikia Sauti Parasports amejiunga na Dispas SC ya Uturuki kwa mkataba wa mwaka mmoja.
CHAMA la Watanzania wawili, Julietha Singano na Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ wanaokipiga FC Juarez inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico bado lina changamoto kwenye eneo la ushambuliaji.
KIUNGO wa Shamakhi FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema anatamani kuvunja rekodi yake binafsi ya msimu uliopita baada ya kufikisha mabao matatu na asisti tatu alizochangia 2024-25.