Chama wa moto, Simba ikiifanyia ukatili Prisons
SIMBA imeendelea kutamba nyumbani ikiichapa Tanzania Prisons mabao 4-0, huku kiungo wake Clatous Chama akizidi kuibeba timu hiyo.
SIMBA imeendelea kutamba nyumbani ikiichapa Tanzania Prisons mabao 4-0, huku kiungo wake Clatous Chama akizidi kuibeba timu hiyo.
HATIMAYE Timu ya Soka ya Taifa Wanawake Tanzania chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, imefuzu kushiriki Kombe la Dunia, baada ya kuitandika Cameroon mabao 2-0 mechi iliyopigwa leo Mei 10,…
KAMA kuna furaha ndani ya kikosi cha TRA United kwa sasa basi ni hatua ya kuangusha mbuyu kwa kuichapa Azam mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,…
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Zanzibar (ZLB), imemfungia kucheza mechi tatu mfululizo mshambuliaji wa Muembe Makumbi, Abdalla Iddi ‘Pina’ kwa kosa la utovu wa…
TAARIFA za ndani zinaeleza makubaliano ya uongozi wa Mtibwa Sugar ya kuachana na Kocha Yusuf Chipo, yapo hatua ya mwisho na ni suala la muda kutangaza rasmi, huku klabu hiyo…
LICHA ya Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuiongoza timu hiyo katika mechi nane za Ligi Kuu Bara bila ya kupoteza, amesema moja ya jukumu kubwa analofanyia kazi kwa…
KMC imeendeleza uteja mbele ya Fountain Gate katika Ligi Kuu Bara baada ya leo Mei 10, 2026 kuchapwa mabao 3-2 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
HALI ya sintofahamu imeibuka kwa wachezaji nyota wa kikosi cha Azam FC, baada ya kudaiwa kukumbwa na tatizo la kupumua kwa shida, lililotokea tangu mechi yao ya Ligi Kuu Bara…
TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimefanyika usiku wa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki…
KIUNGO wa Yanga Princess, Maimuna Hamis 'Mynaco' amesema ushindani uliopo katika kikosi hicho ndiyo siri inayowafanya wachezaji wote kuongeza kiwango na kuwania nafasi kila wanapocheza.
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema malengo yake msimu huu ni kubeba Kombe la Ligi Kuu ya Wanawake ili arejee kucheza michuano ya Afrika.
MSHAMBULIAJI wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa ameendelea kuandika historia ya kipekee baada ya kufikisha jumla ya mabao 60 ndani ya misimu minne, takwimu zinazoendelea kumuweka kwenye orodha ya wachezaji hatari…
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukosekana kwa wachezaji wawili wa kigeni, Anita Adongo na Diana Cherono, ni pigo kubwa kwa timu hiyo kutokana na mchango waliotarajiwa…
LIGI ya Championship imebakisha mechi sita kumalizia msimu huu wa 2025-2026, huku ushindani ukiongezeka kwa kila timu kutokana na mahitaji mbalimbali, hususani kwa zile zinazotafuta nafasi ya kupanda Ligi Kuu…
KIUNGO wa Tanzania, Malaika Meena ameanza kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la wanawake Ulaya baada ya kupata muendelezo mzuri tangu ajiunge na Ipswich Town Women kwa mkopo akitokea Bristol City…
BEKI wa Kitanzania, Abdulmalik Kajuna anayekipiga Psalms 105 FC inayoshiriki Ligi Daraja la pili Kenya amesema tofauti kubwa kati ya ligi ya huko na Tanzania ni fedha.
HUENDA Tanzania ikaandika historia ya kuwa na wachezaji wawili, baada ya mshambuliaji kinda Juma Sagwe kuelezwa anafanya majaribio kwenye kikosi cha Goztepe.
KUTOKANA na kiwango kikubwa anachoendelea kukionesha winga mbongo, Hasnath Ubamba katika kikosi cha FC Masar, uongozi wa klabu hiyo umeanza mchakato wa kumboreshea mkataba wake kabla ya kumalizika mwaka 2027.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa wizara yake imeanza mchakato wa kuangalia utaratibu wa kumpatia uraia nyota wa Simba SC, Clatous Chama, kufuatia bao lake…
WINGA wa KMC, Erick Mwijage amesema wameumizwa na uamuzi wa mwamuzi kushindwa kuipa timu hiyo penalti ya wazi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga walipopoteza kwa…
MABAO mawili ya dakika ya 18 na 63 ya kiungo nyota wa Yanga, Allan Okello, sambamba na lile la dakika ya 75 kutoka kwa Maxi Nzengeli, yametosha kuipa timu hiyo…
NI siku nyingine tena ya Simba kuikimbia zaidi Azam na kuendelea kuifukuzia Yanga katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
HAKUNA namna, ndivyo unavyoweza kusema kwa Timu ya Taifa ya Wasichana U-20, Tanzanite Queens, inayohitaji ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cameroon ili kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Poland,…
KICHAPO cha mabao 4-1, ilichokipata Azam FC, dhidi ya TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Mei 8, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kimekifanya kikosi…
USHINDI mnono wa mabao 4-0 walioupata Singida Black Stars dhidi ya Mtibwa Sugar, umeongeza presha kwenye vita ya nne bora ya Ligi Kuu Bara huku timu hiyo ikiendelea kujiweka pazuri…
SAMAGOAL. Nahodha wa timu ya taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta anayeichezea Le Havre ya Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), leo anatarajiwa kuwa uwanjani kukabiliana na Marseille ya nyota wa kimataifa…
USHINDI wa bao 1-0 uliyoipata Dodoma Jiji dhidi ya Mtibwa Sugar Mei 6, 2026, umemfanya kocha wa timu hiyo, Aman Josiah kusema umewaongezea morali ya kupambana zaidi na kuendelea kujiondoa…
MAKAMANDA wa Mashujaa na JKT Tanzania, wamejikuta wakipiga hesabu moja msimu ujao za kuwania saini ya kiungo mkabaji Jonas Mkude.
MAKAMANDA wa Mashujaa na JKT Tanzania, wamejikuta wakipiga hesabu moja msimu ujao za kuwania saini ya kiungo mkabaji Jonas Mkude.
KUTOKANA na Yanga kupishana na Simba kwa pointi tano, ina kazi ya kuhakikisha inashinda mechi dhidi ya Coastal Union ili kuendelea kujiwekea mazingira ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara…
PAMOJA na ugumu unaonekana katika msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa Tanzania Prisons kushika nafasi ya pili kutoka mwisho, nyota wa timu hiyo hawajakubali kushindwa kwani bado wanaendelea kupiga hesabu…
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Edgar William amefikisha mabao sita ya Ligi Kuu Bara msimu huu akiwa na kikosi hicho sawa na aliyofunga msimu wa 2024-2025, akicheza Fountain Gate, huku akihitaji…
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge amedai mbio za Ligi Kuu Bara zimekuwa ngumu zaidi katika hatua za mwisho na kilichowagharimu katika baadhi ya mechi za hivi karibuni ni kushindwa…
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge amedai mbio za Ligi Kuu Bara zimekuwa ngumu zaidi katika hatua za mwisho na kilichowagharimu katika baadhi ya mechi za hivi karibuni ni kushindwa…
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamehoji kuhusu Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kupata gawio la fedha kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
KVZ imesema kwa sasa kikosi hicho kipo chini ya Kocha Msaidizi, Ali Khalid Omar'Kisoda' hadi taarifa nyingine itakapotoka.
POINTI moja iliyoipata Malindi katika Ligi Kuu Zanzibar, imefufua matumaini ya kubaki kwenye ligi hiyo licha ya kuwa katika mstari wa kushuka daraja.
KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota 'Guardiola', amesema licha ya timu hiyo kutokuwa na mechi yoyote hadi Aprili 17, wachezaji wa kikosi hicho hawatakuwa na muda…
NYOTA wa maafande wa Polisi Tanzania, Naku Kazimoto amesema licha ya kutoifikia rekodi yake ya mabao ya msimu wa 2024-2025, ataendelea kupambana ili kutimiza malengo waliyojiwekea ya kuirejesha timu hiyo…
KOCHA Mkuu wa Gunners FC ya Dodoma, Henry Mkanwa amesema licha ya kukabidhiwa timu hiyo katikati ya msimu wa 2025-2026, ila ameshangazwa na uwezo mkubwa wa wachezaji wa kikosi hicho,…
BEKI wa kati wa Geita Gold, Ally Ally amesema ubora na upana wa kikosi hicho ndiyo sababu ya kufanya vizuri msimu huu na kukiri ushindani umekuwa mkubwa kutokana na timu…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, uko katika hatua za mwisho za kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Yusuf Chippo ikidaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa kiuchezaji wa kikosi hicho…