Simba Queens, Yanga Princess zampa akili kocha Ceasiaa
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukutana na Simba Queens na Yanga Princess ni somo kubwa kwa kikosi chake licha ya kupoteza michezo hiyo.
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukutana na Simba Queens na Yanga Princess ni somo kubwa kwa kikosi chake licha ya kupoteza michezo hiyo.
BAADA ya kuenea tetesi za huenda Kiungo wa Taifa Stars, Alphonce Mabula akaondoka Shamakhi FC ya Ligi Kuu ya Azerbaijan mwishoni mwa msimu, amesema bado anatafakari kuhusu ofa zinazokuja mezani.
KUTOKANA na kiwango anachoendelea kuonyesha mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Saudi Arabia, kimeifanya menejimenti yake kutamba.
KIUNGO mshambuliaji wa She Corporate FC ya Ligi Kuu ya Wanawake Uganda, Husna Mpanja amesema mechi mbili zilizosalia kwenye ligi zinawabana na kuwapa presha kubwa kwenye harakati za kuwania ubingwa.
KOCHA Msaidizi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, Sabri China amesema ushiriki wao katika Kombe la Muungano umekuwa kipimo kizuri kwa timu hiyo na imerudi kwenye ubora…
KOCHA Mkuu wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema hadi sasa msimu huu timu hiyo iko katika uelekeo mzuri Championship, licha ya ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wao wakubwa, ambao kila…
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kukosekana kwa wiki mbili kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu, nyota huyo ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho, huku…
LICHA ya mwenendo usioridhisha wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, kocha mkuu wa timu hiyo, Ally Salimu Mdoe 'Bai' amesema moja ya rekodi asiyoitaka itokee ni…
BEKI wa kushoto wa Barberian FC, Hamza Shabani amesema licha ya mwenendo mbaya wa timu hiyo msimu huu hadi sasa katika Ligi ya Championship, bado hawajakata tamaa kwa sababu tofauti…
KOCHA Mkuu wa Songea United ya mkoani Ruvuma, Juma Masoud amesema katika mechi sita za timu hiyo zilizobaki kumalizia msimu huu, ni za kuweka pia heshima kwa sababu ni ngumu…
Kajuna FC ya Kigoma imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2026, baada ya leo Jumamosi, Aprili 2, 2026, kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kahama…
ILE Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam, ambapo Simba itakuwa mwenyeji
NI wazi kiwango alichokionyesha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello kwenye mechi za hivi karibuni kinaenda kuwapa chalenji mabeki wa Simba. Ni mchezaji ambaye japo hana takwimu nzuri za kufunga…
MACHO ya mashabiki wa soka kwa sasa nchini, yanaelekezwa Mei 3, 2026, kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, jijini Dar es Salaam, wakati watani wa jadi Simba na Yanga…
Matokeo mazuri katika michezo mitano mfululizo yameonekana kumpa jeuri Kocha Mkuu wa TRA United, Ettiene Ndayiragije, akitamba kuwa hesabu si za nafasi nne tu bali hata ubingwa, ili kuitambulisha rasmi…
TIMU ya Black Sailors, imefanikiwa kupanda daraja kushiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kufikisha pointi 65 katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja.
KOCHA Malale Hamsini, ameweka wazi kuachana na Klabu ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili kuhusu masuala ya kusitisha kimkataba.
MABOSI wa Simba wanaendelea na mchakato wa kuangalia maeneo ya kuboresha kwa ajili ya msimu ujao, ambapo mojawapo linaloangaliwa zaidi ni la beki wa kulia, analocheza nyota wa timu hiyo,…
KOCHA wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema matokeo ya Zanzibar hayahusiani na mechi ya kesho dhidi ya Simba kwani ni mashindano ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesema ukitoa ubora wa wapinzani wao Yanga kwenye eneo la ulinzi, lakini wachezaji kama Pacome Zouzoua na Allan Okello ni hatari katika kushambulia.
OFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda, amesema kuwachagua waamuzi kutoka Morocco kuchezesha Dabi ya Kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga, si pendekezo la klabu,…
BAADA ya kuanza na sare, Kocha Mkuu wa Mbeya City Salum Mayanga amesema namna bora na ya uhakika kwa timu hiyo kubaki salama Ligi Kuu ni muunganiko wa wadau, mashabiki…
LICHA ya kuonekana kutofurahishwa na matokeo ya sare mfululizo, Kocha Mkuu wa Mashujaa Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu hiyo haishuki daraja na kama ikitokea anaachana na masuala ya mpira.
HALI imekuwa mbaya kwa kocha mkuu wa maafande wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ baada ya kufikisha mechi sita mfululizo za Ligi Kuu bila kuonja ladha ya ushindi tangu alipotambulishwa…
VITA ya kusaka tiketi ya kucheza Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao wa 2026-2027 inaendelea tena wikiendi hii kwa kushuhudia raundi ya 24 ya Ligi ya Championship ikishika kasi, huku…
IDARA ya Utalii kwa kushirikiana na Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Maliasili na Utalii, imesema inatarajia kuanza mchakato wa kupanga hadhi (Grading and regrading) kwa watoa huduma wa hoteli…
MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta, ameendelea kuandika historia yake barani Ulaya baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Aprili 2026 katika klabu yake ya Le Havre Athletic Club…
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), linaendelea na maboresho ya Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ikiwa ni maandalizi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga inayotarajiwa kupigwa keshokutwa, Jumapili.
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally amesema timu hiyo ipo tayari kwa mchezo wa Jumapili, wiki hii, dhidi ya Yanga akisisitiza kuwa ushindi ndio silaha pekee ya kudumisha furaha kwa…
Timu za Kajuna ya Kigoma na Kahama Madini ya Shinyanga, zimekata tiketi ya kushiriki Ligi Daraja la Pili (First League) msimu ujao baada ya leo Alhamisi, Aprili 30, 2026, kuibuka…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na wadau wa soka nchini kuongeza umakini katika usimamizi wa waamuzi, akisisitiza kuwa nidhamu…
SIKU moja baada ya kikosi cha Yanga kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa watani zao wa jadi, Simba katika fainali ya Kombe la Muungano iliyochezwa Uwanja wa New Amaan…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema ukiacha kitendo cha kufuruhishwa na namna wachezaji wa timu hiyo walivyopambana na kuichapa Yanga jana, lakini mechi hiyo imewaonyesha bado…
KMC inapigania uhai wake wa kusalia Ligi Kuu Bara msimu ujao ikiwa pia bila kocha mkuu, huku uongozi wa klabu hiyo ukiweka wazi kuwa bado kuna hesabu zinaendelea kupigwa taratibu…
UONGOZI wa Singida Black Stars, umeonyesha nia ya kumuhitaji kiungo mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Mghana, Enock Morrison, ambaye hadi sasa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya huko alipo,…
SIMBA ndiyo bingwa mpya wa Kombe la Muungano baada ya kufanya kweli ikiivua ubingwa huo mtani wake wa jadi, Yanga kwenye fainali kali iliyopigwa Aprili 29, 2026 kwenye Uwanja wa…
Nsajigwa aliyetua kikosini humo kuchukua nafasi ya Zedekiah Otieno raia wa Kenya, katika mechi sita alizosimamia ikiwamo ya Kombe la Shirikisho la CRDB, amepoteza nne na sare mbili, huku kikosi…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema katika mandalizi ya kuelekea mashindano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, Serikali itajenga viwanja vya mazoezi ndani ya mbuga zenye…
BAO la dakika ya 119 lililofungwa na mshambuliaji wa Simba, Seleman Mwalimu, limetosha kusitisha ukame wa mataji klabuni hapo, lakini pia likivunja rekodi tatu ndani ya Yanga. Wakati huohuo, likiivua…
YANGA na Simba zimemalizana katika Kombe la Muungano pale Zanzibar, kituo kinachofuata ni jeshini pale Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo ikiwa ni mchezo ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili hii…