Wadau wataka tiba saikolojia kwa wachezaji
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amelitaja suala la saikolojia kwa wachezaji kuwa ni eneo muhimu nje ya uwanja ambalo makocha wanapaswa kulijua ipasavyo.
Ishu ya penalti Namungo iko hivi!
BAADA ya wimbi la wachezaji wa Namungo kuzidi kukosa penalti katika mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha wa kikosi hicho cha 'Wauaji wa Kusini', Juma Mgunda amesema hakuna…
TRA United mambo si shwari
MABOSI wa TRA United huenda wakaachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya pande hizo zote mbili kutokuwa na maelewano mazuri kwa siku za hivi karibuni,…
Saa 3 kabla mechi, New Amaan mambo bado!
IKIWA zimesalia saa tatu kabla ya kuanza mtanange wa mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar wanaoutumia Yanga na JS Kablyie bado mambo hayajachangamka.
Mavitu ya Khleffin yamkosha Josiah
KOCHA wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amefurahishwa na mwenendo wa timu hiyo hadi sasa katika mechi za Ligi Kuu ilizocheza msimu huu, huku akisifu usajili wa kiungo wa kikosi hicho,…
Nsajigwa akwepa mtego wa uwanja
KOCHA wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa, amesema matokeo mabaya ya timu hiyo raundi ya pili hayatokani na kuhamishia mechi za nyumbani kwenye Uwanja wa Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani, tofauti…
Straika Mbeya Kwanza ajipanga upya
MSHAMBULIAJI mpya wa Mbeya Kwanza, Lucas Sendama, amesema kwa sasa ameamua kujipanga upya ili kurejesha kiwango chake, baada ya kukosa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza mara kwa mara akiwa…
Beki Bigman matumaini kibao Championship
BEKI wa kati wa Bigman FC, Better Abdallah Mnyamisi, amesema licha ya kukitumikia kikosi hicho kwa muda wa mwezi mmoja tangu ajiunge nacho akitokea, IAA ya jijini Arusha inayoshiriki Ligi…
Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico
KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta…
Mido Barberian aona mwanga Championship
KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya mwenendo usioridhisha kwa timu hiyo katika Ligi ya Championship hadi sasa msimu huu, ila bado wana nafasi ya kurekebisha changamoto mbalimbali,…
Simba yapata ushindi wa kwanza nyumbani, ikilipa kisasi kwa Stade Malien
SIMBA imemaliza kibabe hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kwa kupata ushindi wa hatua hiyo na wa kwanza pia nyumbani baada ya kuichapa Stade Malien kwa bao 1-0 nyumbani.
Mchakato ujenzi wa uwanja Yanga wafikia patamu
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema mchakato wa ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo utakaojengwa Jangwani umefikia hatua nzuri baada ya kupokea mchoro wa kwanza wa mradi huo.
Prisons yafufuka baada ya dakika 720, Namungo yakalishwa Sokoine
Licha ya kwenda mapumziko ikiwa nyuma Kwa mabao 2-0, Tanzania Prisons imefanya 'comeback' kwa kuizamisha Namungo 3-2 na kujihakikishia pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Kocha Mtibwa afichua kilichowaangusha
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mkenya Yusuf Chippo, ametaja sababu iliyowaangusha wakaambulia kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Mashujaa kuwa ni kutokana na wachezaji kukosa umakini katika eneo la kujilinda.
Julio asaka msaidizi Mashujaa FC
KOCHA Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameanza kwa kishindo kazi ya kuinoa Mashujaa ya Kigoma baada ya juzi usiku kuizima Mtibwa Sugar ikiwa uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodoma kwa mabao…
JKT, Coastal yajirudia baada ya miaka sita
SARE ya kufungana bao 1-1 kati JKT Tanzania na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni ni ya kwanza timu hizo…
Kigogo arejea Mbeya City na ujumbe, mashabiki mzuka
ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City, Ally Nnunduma amesema licha ya timu hiyo kuanza msimu kwa matokeo yasiyoridhisha, lakini ina uwezo wa kumaliza kibabe Ligi Kuu Bara kutokana na mipango…
Kocha Yanga afafanua atavyopishana na JS Kabylie mechi ya mtego akiisaka robo fainali, Tshabalala…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Kocha JS Kabylie aichimba mkwara Yanga akizungumzia maandalizi ya mwisho, staa ashindwa kujizuia …
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Tshabalala ateka shoo mazoezini Zanzibar
WAKATI Yanga ikijiandaa na mechi ya mwisho ya Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie ya Algeria, kuna ishara kuwa mabingwa hao wa Tanzania hawataki kuacha…
Tajiri atinga mazoezi Yanga Zanzibar
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi usiku huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar mdhamini wa timu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM), ameibuka mazoezi hapo.
Zanzibar iko tayari kuikaribisha Yanga New Amaan Complex
Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) limekamilisha maandalizi yote ya kuikaribisha timu ya Yanga SC katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, wakati itakapocheza mechi yake ya mwisho ya hatua ya…
Motsepe afichua siri fainali Simba, Berkane
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amefichua kuwa alitamani mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Berkane,…
EA uhakika AFCON 2027, Motsepe atuliza hali ya hewa
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amezihakikishia nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa zitaandaa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kama ilivyopangwa.
EAC uhakika AFCON 2027, Motsepe atuliza hali ya hewa
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amezihakikishia nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa zitaandaa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kama ilivyopangwa.
Mziki umefikia patamu Championship 2025/26
LIGI ya Championship inayotoa timu za kupanda Ligi Kuu kwa sasa imefikia patamu wakati raundi ya 18 ikitarajiwa kupigwa leo Jumamosi kwa mechi tatu kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea…
Otieno apewa dk 90 Prisons, Mgunda azitaka tatu Sokoine
BAADA ya kusota kwa muda mrefu kwa matokeo mabaya, Tanzania Prisons imeapa kuangusha mbuyu kwa kuwazima Namungo ili kurejesha ari na furaha kwa mashabiki wa timu hiyo.
Kocha Singida Black Stars anataka heshima Sauzi
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Mkenya David Ouma, amesema kwa sasa timu hiyo inaenda Afrika Kusini kusaka heshima tu, katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe…
Kuna hii ya Ibrahim Imoro Singida Black Stars
BEKI wa kushoto wa Singida Black Stars, Mghana Ibrahim Imoro, amehusika katika mabao matatu ya Ligi Kuu Bara msimu huu, huku kati ya hayo mawili nyota huyo ameyatoa dhidi ya…
Kwa hili JKT Tanzania kiboko
LICHA ya JKT Tanzania kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ikiongoza kwa pointi 27, kikosi hicho cha maafande ndio kinachoongoza kwa wachezaji wa timu hiyo kuonyeshwa kadi nyekundu,…