Category: MWANASPOTI

Dili iliyokufa – 28

ILIPOISHIA Wakwetu alipanda ghorofani kilikokuwa chumba cha Masumbuko. Akabisha mlango. Masumbuko akafungua mlango. “Tumeshafika” James alimwambia Masumbuko. “Mzee yuko wapi?” “Yuko mkahawani, amenituma nikufuate” “Haya twende” Masumbuko akafunga mlango wakashuka…